Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

ushabiki mwingine unatia kinyaa, watanzania wana matatizo makubwa sana ya kiakili. Kama mmelogwa sawa ila kama mnatumia akili zenu kufanya ninayoyaona, mnahitaji tiba.

Mnamshabikia el kwa lipi?

1. Kuna rekodi ya utendaji kaiweka?
2.kafuta umaskini jimboni kwake?
3. Akiwa waziri kuna mambo muhimu alifanya kwa maslahi ya taifa?
4. Ufisadi wake mnajua umekandamiza maisha ya watanzania wangapi?
5. Jopo la marafiki zake wakuu mnajua wameiletea hasara nchi kwa kias gani?


Mtu anayemshabikia lowasa namshangaa sana, naelewana na mtu anayepiga kura ili kubadilisha mfumo si kwa sababu ya kumuona lowasa ni mtendaji katika hii nchi. Tusiwe vilaza kias hicho.
una wenge la mtiti wa mabadiliko lina kusumbua kwa head yako...


Mabadiliko lowassa na lowassa mabadilikoo...
.......o

......
 
Nina brother angu ni chichiem kindakindaki mara nyingi huwa haangalii Taarifa ya habar. Leo kaniambia kapita mahali kakuta watu wanaangalia taarifa ya habar anasema ameshangazwa na ule umati wa musoma.

Wallah kwa mara ya kwanza namsikia bro akisema kuwa Edo anaweza kuchukua nchi kama hali ndo iko vile.

Cha ajabu kaniambia hatoangalia tena habar anaogopa asijekushawishika.

Nimecheka sana leo.

Huyo atawahi kwenda kuipigia kura UKAWA asubuhi na mapema kabla ww hujaamka trust me, wanageukaga vibaya dakika za mwisho hao !
 
Siku hizi hata Kipindi cha Magazeti asubuhi cha RFA kinanipita wakati zamani ilikuwa nadra sana kukosa. I have lost appetite with Sahara media! Safi sana IPP media ... Mko fair mno.
 
Huo ndo ujinga mloambukizwa na mwenyekiti wenu, hicho ndo kihelehele, kwani kaomba mchango wenu? mnatabia za hisiahisia, leo akitoa taarifa isiyokufurahisha tena utasema kapewa pesa na ccm-acheni ujinga

Mbona povu jingi kulikoni
 
jaman rahaaaaaaa!!! Musoma mmetishaaaaa

Yani leo usingizi muruaaa,

ITV mmedhibitisha kuwa nyie ni super brand, baada ya taarifa ya musoma watu tumeweka mpira, kwa kwa kwa kwa kwa kwa !!!

Lameck karibu dinner safi, sena unataka nikuandaliee nn!!!!!

Unajua ujinga wenu mnapima ushindi kwa picha zq tv kwa ukwel8 wa wazi ni kuwa musima chadema ni chali nyie ngojeni matokeo
 
Kwa ninavyo wafahamu Bavicha lazima soon watamgeuka na kumtukana matusi ya nguoni maana si siku zote ata waridhisha hapo ndipo watu wataamini ni bora kupewa kiroba cha mchele kuliko kuliko kuishi na Bavicha..
 
Kwa ninavyo wafahamu Bavicha lazima soon watamgeuka na kumtukana matusi ya nguoni maana si siku zote ata waridhisha hapo ndipo watu wataamini ni bora kupewa kiroba cha mchele kuliko kuliko kuishi na Bavicha..
Unaweweseka wewe habari za ukawa zinaendana na uhalisia sio kama za ccm uhongo mtupu
 
Lameck anatimiza tu wajibu wake kama mwandishi mwenye weledi na kazi yake. Lakini Lowassa akiingia ikulu ya magogoni lazima amfikirie kwani anafanya kazi ambayo hao wanaoitwa waandishi nguliiI imewashinda kwa kuendekeza matumbo yao.HUYO DOGO NI JASIRI SANA ANAPOKUWA KAZINI.
 
Hao ndo waandishi tunao wataka. Mikutano ya lowasa inatia raha bana, yaani unafurahi, unafarijika nakuona kama umetua mzigo.fulani hivi.

Tunaomba Mungu ampe ridhaa ya kutuongoza, aondoshe hila zote za wizi na.kuhujumu.uchaguzi
 
Ufoo saro,kwa karibu sana anafuata kwa Lameck.Sema tu mikimiki ya Ukawa inatakiwa Kamanda kama lameck.Napendelea sana habari the firstlady mtarajiwa awe anaripoti Ufoo Saro.
 
Back
Top Bottom