Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

spencer lamek ndiye mwandishi bora kwa sasa anayeonyesha uhalisia wa hali ilivyo ktk kampeni za mwaka huu
 
Ukawa wakichukua nchii najinyea kama mamvii kwanzi ubungo mpaka kko
 
Channel Ten nao leo wamefanya coverage nzuri sana
Siku hizi wameamua tu kuonyesha ukweli maana hata wasipo fanya hivyo watu wana Selfie na ku video matukio na kuyarusha muda huo huo pasipo hata kusubiri muda wa taarifa za habari. TV zinaogopa kuficha ukweli kwani zinaweza kukosa soko la kurusha matangazo huko baadae." UKAWA Ulipo TUPO "
 
ukawa kama kawa wanapaaa tu.


Msoma nyie ni mashujaaa wa mabadiliko!
kuna baadhi ya miji hapa tz mtu unaona fahari kuzaliwa huko.musoma ni mji wa kifahari yaani mtu haoni taabu kusema mm ni wa musoma aiseee hii ya leo ni historia. Watu wanadeki brbara!!!!!!
 
Huyu mtangazaji ni NGULI na ni zaidi ya JEMBE!
Akiripoti taarifa zake toka kwenye kampeni za mgombea uraisi wa UKAWA MH.SANA EDWARD NGOYAI LOWASSA..
"Amesema wananchi wana ari na hamu ya KUKINYOFOA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI"...Huu msemo ni mtamu na mzuri ambao kifasihi ni zaidi ya lugha ya ushindi kwa wana wa TAIFA HILI WOTE!




.....VIVA LOWASSA....))))))
...VIVA.....SPENCER LAMECK.....)))))))
......VIVA UKAWA.....)))

Hao ndio watangazaji huru
 
Yaani watu wakisikia wanasifia lowasa wanampongeza sana mtangazaji tunaramba matapishi yote
 
Huyu mtangazaji ni NGULI na ni zaidi ya JEMBE!
Akiripoti taarifa zake toka kwenye kampeni za mgombea uraisi wa UKAWA MH.SANA EDWARD NGOYAI LOWASSA..
"Amesema wananchi wana ari na hamu ya KUKINYOFOA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI"...Huu msemo ni mtamu na mzuri ambao kifasihi ni zaidi ya lugha ya ushindi kwa wana wa TAIFA HILI WOTE!




.....VIVA LOWASSA....))))))
...VIVA.....SPENCER LAMECK.....)))))))
......VIVA UKAWA.....)))

Sasa yeye mwenyewe anaona 'nyomi' anayokutana unadhani angesemaje?
 
Baada ya uchaguzi mtakuwa UKIWA maana hamjitambui mnataka mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!..poleni jaribuni 2020! CCM ni chama,UKAWA ni makubaliano!. Chama(stable) na makubaliano(unpredictable)

Yuwapi magufuli, 2days hajapanda jukwaani...? Kwani wenye afya nao hupumzika??...
 
mkoa wa mara ni mikoa yenye watu wenye mageuzi sana sana kumbuka mwl. alotokea huko, warioba japo amedhihirisha si mwanamageuzi tena(katiba) chacha wangwe n.k ile mbegu ni njema sana jamani asanteni wana MUSOMA nq maeneo mengine....peopleeeeessssss..... mugonile mwesa bado mbeya jamani lazima niende mbeya lowassa akishuka kule
 
Nampenda Sana Huyu Dada, Ameolewa! Japo Niko Denmark, Nimeshangaa Hata Wadenish Nao Wanataka Mabadiliko! Wanaimba Jina La Lowassa! Hakuna Bao La Mkono, Wala Bao La Kalio!
 
Badi hajaweza kuchanganya picha km Jamila Omar wa Channel ten. Channel ten wameonesha wanaume wakideki barabara na jinsi msafara ulivyokwama zaidi ya nusu saa kutokana na nyomi
 
Back
Top Bottom