Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Nina brother angu ni chichiem kindakindaki mara nyingi huwa haangalii Taarifa ya habar. Leo kaniambia kapita mahali kakuta watu wanaangalia taarifa ya habar anasema ameshangazwa na ule umati wa musoma.

Wallah kwa mara ya kwanza namsikia bro akisema kuwa Edo anaweza kuchukua nchi kama hali ndo iko vile.

Cha ajabu kaniambia hatoangalia tena habar anaogopa asijekushawishika.

Nimecheka sana leo.

Mwambie atoroke aje
 
Kwahali navoiona karibu atatoroka tu....

Sasa hv namtumia videos za mikutano ya El kwenye watsap.

Taratibu ataelewa tu
 
Dogo anatishaaa kinomaa ila siyo mtangazaji nguli i think ni mtangazaji mdogo aliyeibukia kwa kasi ya ajabu mno
 
Yuko vizuri sana, na nadhani now days tbc, star TV zinasindikiza tu watazamaji wamepungua sana....
 
Hapo mnasifia...angekuwa kasema hivyo kwa kuwaponda mhhhh matusi ambayo yangekuwa yanatoka hapa balaaa...
 
Hamna mwenye a/c number zake za bank atuwekee hapa!
 
Wekeni namba yake ya m-pesa hapa fasta tumpe kamchango huyu mzalendo
 
Baada ya uchaguzi mtakuwa UKIWA maana hamjitambui mnataka mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!..poleni jaribuni 2020! CCM ni chama,UKAWA ni makubaliano!. Chama(stable) na makubaliano(unpredictable)
 
Mimi na Mke Wangu Tumeshakubaliana Kumwita Mtoto wetu ajaue aitwe Spence Kiwera Mikaeli.

Kuenzi ITV na reporter wao
 
Baada ya uchaguzi mtakuwa UKIWA maana hamjitambui mnataka mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!..poleni jaribuni 2020! CCM ni chama,UKAWA ni makubaliano!. Chama(stable) na makubaliano(unpredictable)

tulia usipanic vumilia ndio hali halisi hakuna aneyataka kukisikia hicho chama chenu
 
Back
Top Bottom