Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,080
- 12,080
Atakuwa mkurugenzi wa habari ikulu baada ya ukawa kuingia ikulu
ikulu ya Monduli.
Atakuwa mkurugenzi wa habari ikulu baada ya ukawa kuingia ikulu
Naona kama anafaa kuwa mwandishi wa habari wa lowasa ikulu au wadau mnaonaje huyu kijana
Alitoa siri kuwa CCM haikubaliki huko walikokuwa wanapita?Huyu alitoa siri......!!!
monduli kwa mama yakoikulu ya Monduli.
Hivi Huyu Dogo Si Ndiyo Huyu WAKATI Akiwa Hapo SJMC Alikutwa Na KASHFA YA KULA CHABO KTK MTIHANI Na KUFUMANIWA Na Denti Wa Darasa La 4 au? Halafu Sijui Hii Tabia Yake Ya KUPENDA KUOMBA KUOMBA HELA Kwa Sources Wa HABARI Ameiacha. Na Safari Hii AKIJISAHAU Tu Na Kuja Ktk Press Yangu Na AKITAKA Tip " NITAMPUMULIA KISOGONI " Ili Akanitangaze Vizuri Ktk TAARIFA Yake Ya Habari.
Too low...Hivi Huyu Dogo Si Ndiyo Huyu WAKATI Akiwa Hapo SJMC Alikutwa Na KASHFA YA KULA CHABO KTK MTIHANI Na KUFUMANIWA Na Denti Wa Darasa La 4 au? Halafu Sijui Hii Tabia Yake Ya KUPENDA KUOMBA KUOMBA HELA Kwa Sources Wa HABARI Ameiacha. Na Safari Hii AKIJISAHAU Tu Na Kuja Ktk Press Yangu Na AKITAKA Tip " NITAMPUMULIA KISOGONI " Ili Akanitangaze Vizuri Ktk TAARIFA Yake Ya Habari.
Mtangazaji mahiri wa ITV anayeripoti habari za Lowassa leo anasubiriwa kwa hamu kubwa kuwapa raha watanzania. Kijana anapiga kazi ya maana kiasi cha kuwakuna wananchi. Leo ni leo spencer lameki saa mbili taarifa ya habari ITV
Hivi Huyu Dogo Si Ndiyo Huyu WAKATI Akiwa Hapo SJMC Alikutwa Na KASHFA YA KULA CHABO KTK MTIHANI Na KUFUMANIWA Na Denti Wa Darasa La 4 au? Halafu Sijui Hii Tabia Yake Ya KUPENDA KUOMBA KUOMBA HELA Kwa Sources Wa HABARI Ameiacha. Na Safari Hii AKIJISAHAU Tu Na Kuja Ktk Press Yangu Na AKITAKA Tip " NITAMPUMULIA KISOGONI " Ili Akanitangaze Vizuri Ktk TAARIFA Yake Ya Habari.
Alitoa siri kuwa CCM haikubaliki huko walikokuwa wanapita?
Jana alisema Lowasa mgombea anayetegemewa kuikomboa Tz,watazamaji wakalipuka kwa shangwe kubwa sana