Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Kuna MTU humu alitumwaa eti Spencer anaharibu habari ili wananchi tulalamike atimuliweee...weeee weeee alikimbizwajee kama alilipwa alikuwa buku 7 ya bure..
 
spencer yuko poa pia buholela yuko poa
yaan ni sawa kabisa hawa watangazaji kusema wanayoyaona sio STAR TV,CLOUDS kujifunga kwa MAGUFULI TUU

SPENCER SAFI SANA kwa ukawa
buholela safi sana kwa ccm

KWA UJUMLA SIFA ZIIENDEE ITV ILIYOWAWEKA HURU WATANGAZAJI HAWA
 
Kweli nmeamini UKAWA wanadanganyika kwa vitu vidogo sana!
 
HahHa hata mm kanfurahishi

Eti kuna swal ambalo watu weng tunajua jibu lake ila wana mwanza wamelitaja
 
Spendezwi na #spensa lameck mtangazaji wa itv anaetembea na mh ed lowasa, hatupi taarifa vizur kuna watu wengne hatuoni kama wanaongea mfano wabunge kujitambulisha pia anaonyesha sehem moja tu, hazungushi camera vizur pande zote, na anabana sana mda sekunde tu anatoa, sio vizur kabisa, mfano maludio ya mkutano wa chadema ameonyesha moja kwa moja jukwaani tu haonyeshi watu, tunataka jukwaa na kwa watu ili tujuwe mafuliko yakoje, fanya kama #emmanuel buhohela anae tembea na magufuli, anatoa taarifa vizur kabisa, ingekuwa inawekwa video hum ningeweka
 
Ccm kwisha ,kwisha kabisa nyang'anyang'a ndembendembe kifo cha mende chaliiiii.
 
Spendezwi na #spensa lameck mtangazaji wa itv anaetembea na mh ed lowasa, hatupi taarifa vizur kuna watu wengne hatuoni kama wanaongea mfano wabunge kujitambulisha pia anaonyesha sehem moja tu, hazungushi camera vizur pande zote, na anabana sana mda sekunde tu anatoa, sio vizur kabisa, mfano maludio ya mkutano wa chadema ameonyesha moja kwa moja jukwaani tu haonyeshi watu, tunataka jukwaa na kwa watu ili tujuwe mafuliko yakoje, fanya kama #emmanuel buhohela anae tembea na magufuli, anatoa taarifa vizur kabisa, ingekuwa inawekwa video hum ningeweka

Viroba @work.
 
Bohohela au BOMOELA ni muongo tu,anaunga kipande cha mwaka 72 cha watu kuoeperusha mikono kila siku hadi nashangaa Tanzania nzima imehengea sawa na watu ni walewale?
Huyo tapeli tu anakula ela za walarushwa
 
"Chama kinachodaiwa kuchokwa na watanzania...chama cha CCM..." hahaaaaa
 
Back
Top Bottom