Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 755
- 670
Iko wazi ITV ni UKAWA
ww wasema kama nani ? acha wivu wako ww
Iko wazi ITV ni UKAWA
Naona kama anafaa kuwa mwandishi wa habari wa lowasa ikulu au wadau mnaonaje huyu kijana
Hivi Huyu Dogo Si Ndiyo Huyu WAKATI Akiwa Hapo SJMC Alikutwa Na KASHFA YA KULA CHABO KTK MTIHANI Na KUFUMANIWA Na Denti Wa Darasa La 4 au? Halafu Sijui Hii Tabia Yake Ya KUPENDA KUOMBA KUOMBA HELA Kwa Sources Wa HABARI Ameiacha. Na Safari Hii AKIJISAHAU Tu Na Kuja Ktk Press Yangu Na AKITAKA Tip " NITAMPUMULIA KISOGONI " Ili Akanitangaze Vizuri Ktk TAARIFA Yake Ya Habari.
atasaidiana na sam mahelaAtakuwa mkurugenzi wa habari ikulu baada ya ukawa kuingia ikulu
Boss wao Mengi mwenyewe kariri LIVE kuwa hajajitoa UKAWA
Iko wazi ITV ni UKAWA
ikulu ya Monduli.
Kasema rekodi ya wingi wa watu kwenye mkutano wa kampeni ya miaka 15 imevunjwa leo musoma