Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Lameck anaona hali halisi uwanjani na hata yeye ana furaha kuonesha kile anachoona, anaona watu wamekuja wenyewe, hakuna wasaniii, anaona watu walivyo na mahaba ya dhati, anaona watu wanavyopenda mabadiliko ya kweli...

Mwenzake Buhohela hata tushamsahau kama yupo, najua huwa anaona aibu kwanini yuko kwa Magufuli....
 
Kabisa,nilikuwa kimoru pub watu walishangilia sana

Nilikuwa hapa kwa mama K bar nakwambia watu wote wamesimama wanashangilia mpaka wale waliokuwa wanajidai wana mioyo migumu wamesalimu amri na kusema kweli ukawa wanachukua dola piiiipooooooo
 
Wingi wa watu unaolinganishwa na kupitwa na huu wa leo ni wa 1999 wakati wa kifo cha baba wa taifa mwl J K Nyerere.
Record yake mwalimu inavunjwa halafu eti Lowassa aliyeivunja asiingie ikulu, masihara hayo!!

mwalimu angekuwepo angefurahia mchakamchaka wa lowasa kama mfuasi wake kingunge alivyofanya
 
Huyu mtangazaji ni NGULI na ni zaidi ya JEMBE!
Akiripoti taarifa zake toka kwenye kampeni za mgombea uraisi wa UKAWA MH.SANA EDWARD NGOYAI LOWASSA..
"Amesema wananchi wana ari na hamu ya KUKINYOFOA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI"...Huu msemo ni mtamu na mzuri ambao kifasihi ni zaidi ya lugha ya ushindi kwa wana wa TAIFA HILI WOTE!




.....VIVA LOWASSA....))))))
...VIVA.....SPENCER LAMECK.....)))))))
......VIVA UKAWA.....)))

Spencer na Buhohela wote wanafanya kampeni hawaripoti.
 
Magamba kale ka ugonjwa ka kushusha BP kanawanyemelea. Spencer Lameck jana, leo ameripoti habari za uhakika.
 
Hahahaaaa mwaka huu Lumumba makalio hayatulii kwenye kochi.

Sasa subiri shughuri ya kesho from The Rocky City Mwanza Mwanza ndo tutamtangaza rasmi Edo kama rais wa nchi hii mwaka huu.

HapaGizaTu.

Hapo jan marobe mavi debe...kwikwikwii na alivokua na uchu wa madaraka
 
Nina brother angu ni chichiem kindakindaki mara nyingi huwa haangalii Taarifa ya habar. Leo kaniambia kapita mahali kakuta watu wanaangalia taarifa ya habar anasema ameshangazwa na ule umati wa musoma.

Wallah kwa mara ya kwanza namsikia bro akisema kuwa Edo anaweza kuchukua nchi kama hali ndo iko vile.

Cha ajabu kaniambia hatoangalia tena habar anaogopa asijekushawishika.

Nimecheka sana leo.
 
Leo Spencer katisha sana naona alikuwa kwenye kiwango cha juu cha ubora wake
hongera sana Spencer.
 
jaman rahaaaaaaa!!! Musoma mmetishaaaaa

Yani leo usingizi muruaaa,

ITV mmedhibitisha kuwa nyie ni super brand, baada ya taarifa ya musoma watu tumeweka mpira, kwa kwa kwa kwa kwa kwa !!!

Lameck karibu dinner safi, sena unataka nikuandaliee nn!!!!!

Kijana anaitendea haki taaluma yake. huwa ananifurahisha sana
 
Nina brother angu ni chichiem kindakindaki mara nyingi huwa haangalii Taarifa ya habar. Leo kaniambia kapita mahali kakuta watu wanaangalia taarifa ya habar anasema ameshangazwa na ule umati wa musoma.

Wallah kwa mara ya kwanza namsikia bro akisema kuwa Edo anaweza kuchukua nchi kama hali ndo iko vile.

Cha ajabu kaniambia hatoangalia tena habar anaogopa asijekushawishika.

Nimecheka sana leo.


hahhahhaha. taratibu tu kabla ya Uchaguzi atabadili msimamo tu
 
Back
Top Bottom