Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Huyu jamaa yuko safi na makini saaana katika kazini zake.
 
Nawapongeza ITV kwa kubalance habari na wahabarishaji, maana Buhohela naye hajambo kwa kuzipamba habari za Mgufuri sasa naona wameamua kumpa Spencer Lameck kiboko yake, sipati picha Hemedi Kivuyo naye angekuwa ripota wa Siasa
 
Spendezwi na #spensa lameck mtangazaji wa itv anaetembea na mh ed lowasa, hatupi taarifa vizur kuna watu wengne hatuoni kama wanaongea mfano wabunge kujitambulisha pia anaonyesha sehem moja tu, hazungushi camera vizur pande zote, na anabana sana mda sekunde tu anatoa, sio vizur kabisa, mfano maludio ya mkutano wa chadema ameonyesha moja kwa moja jukwaani tu haonyeshi watu, tunataka jukwaa na kwa watu ili tujuwe mafuliko yakoje, fanya kama #emmanuel buhohela anae tembea na magufuli, anatoa taarifa vizur kabisa, ingekuwa inawekwa video hum ningeweka

Unajitekenya na kucheka mwenyewe kiongozi, uhalisia unaujua mwenyewe
 
Hongera sana kijana songa mbele sijawai kukusikia kutokana na tatizo la umeme ila naamini unafanya vizuri kutokana na pongezi nyingi ulizopewa na wengi.
 
Ngoja siku moja ni vizie habari ya saa mbili itv nithibitishe hii habari!!
 
Mtangazaji mahiri wa ITV anayeripoti habari za Lowassa leo anasubiriwa kwa hamu kubwa kuwapa raha watanzania. Kijana anapiga kazi ya maana kiasi cha kuwakuna wananchi. Leo ni leo spencer lameki saa mbili taarifa ya habari ITV

Mm cpendezwi mana hawapi nafas vizur wanasiasa hao tena nilikuwa nataka kuleta uzi, hatuonyeshi vizur, mda anawapa mdogo sana, huwez linganisha na emmanuel buhohela kwa magufuli fatilieni vizur muone, kama habali ya leo 15/10/015; habali ya lowasa ni kidogo tu, mafuliko magu hajasema lowasa amesemaje? , pia amefanya mikutano mingapi, na atakuwa wapi siku inayofuata hasemi yote hayo ,mgombea mwenyew anapewa sekunde tu anakatishwa nini sasa, hakuna kitu hapo tunaomba ubadilike bana, onyesha majimbo aliyopita kwa siku na amesemaje na jimbo la mwisho mpe mda kidogo azungumze sio lashalasha tu unahama acha hizo bana
 
Lameck anatimiza tu wajibu wake kama mwandishi mwenye weledi na kazi yake. Lakini Lowassa akiingia ikulu ya magogoni lazima amfikirie kwani anafanya kazi ambayo hao wanaoitwa waandishi nguliiI imewashinda kwa kuendekeza matumbo yao.HUYO DOGO NI JASIRI SANA ANAPOKUWA KAZINI.

Natamani nimwone nithibitishe hii hoja
 
tatizo lameck anaongea sana kuliko mgombea mwenyewe hadi kero....sijui kwasababu mgombea hajui kujieleza...
 
Kuna huyu kijana toka Independent Television (na hii TV iko independent kweli) ana uwezo mkubwa sana kwenye hii tasnia ya habari na hasa uwezo wake umedhiirika dhahiri baada ya kuanza kuambatana na rais huko mikoani.Kwenye mafuriko anaripoti na kwenye tsunami pia anaripoti bila kububuja maneno.
Rai yangu kwa rais Lowassa atakapoanza kupanga timu yake inabidi huyu kijana abakie pale Magogoni kama msemaji wa Ikulu
 
Piga kura kwanza mkuu leta na watu wapige kura kwa wingi kisha tutajua mbelee mahana hili DUDU CCM kulitoa shimoni ni kazi kwelikweli.

swissme
 
kwl mkuu minaona angepewa ukurugenzi tbc
 
Piga kura kwanza mkuu leta na watu wapige kura kwa wingi kisha tutajua mbelee mahana hili DUDU CCM kulitoa shimoni ni kazi kwelikweli.
swissme
yeah ni kweli ,nilikua mwanza nimerudi Dar sehemu nilipojiandikishia ili tuu nipige kura
 
Atateuliwa kwenye wabunge wa viti maalum na kupewa uwaziri wa habari
 
Back
Top Bottom