Speed ya moderm ya airtel sijawahi kuiona

Haya fadhil paul kwa mnaotumia pc je? Hiyo speed 1.7 millbyete per second.inatosha? Hata utafute nguzo za Airtel kwa kubeba computer yote
Mm nilitumia modem yao na nina line yao isipokuwa hawana ushirikiano na wateja
Nenda Facebook tigo wapo hewani kusaidia wenye matatizo
Natumia BlackBerry kupitia tiGo speed kubwa hao Airtel wakirekebisha nitarudi
Ni 7.2 mbps wakati iko connected, siyo ndogo hata kidogo mkuu, fuatilia mjadala mwanzo mwisho utagunduwa hiyo si speed ndogo.
 
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.

Nami nichukue fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet,sijawahi kukutana na internet ya speed ya kijinga kama hii ya airtel,sijawahi.File la ukubwa wa mb 50 ndani ya dk 300 huongo?
 
Sio kweli mkuu,labda kama ni kwako tu.mi ndo ninayotumia lakini taabu tupu!
 
Nami nichukue fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet,sijawahi kukutana na internet ya speed ya kijinga kama hii ya airtel,sijawahi.File la ukubwa wa mb 50 ndani ya dk 300 huongo?
Nimecheka sana!!!, aise hiyo noma
 
Sio kweli mkuu,labda kama ni kwako tu.mi ndo ninayotumia lakini taabu tupu!
Sasa sijuwi nitafanyaje uamini maana mwanzoni walidai screenshot nimeziweka zote 2 unaweza kuziona mwenyewe, sasa sijuwi nifanyaje,kama unajuwa namna nyingine yakuweza kukuonesha nifundishe pengine ndo utaamini
 
Speed ya airtel 90% ni ya kinyonga au tuseme konokono kabisa.

Ila kuna baadhi ya siku tena kwa masaa kadhaa ndio unaweza kubahatisha speed 250 hadi 300 KB/s.

Hadi kuna wakati natamani kuikrashi na kutupilia mbali. Afadhali kidogo na Voda ana Zantel ila tatizo bei ndo inatukimbiza sisi makabwela.
 
jamani kupima ubora wa kitu lazima kuwe na consistent yaani namaanisha kitu kiwe na ubora huo huo kwa muda mrefu.

Bwana fadhili paulo hio speed una muda gani unaipata? Atleast inatakiwa iwe kwa kiwango kikubwa kwa mda kama mwezi mmoja ili tuamini kuwa speed ya airtel now kubwa.
 
Ni zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa mkuu na ipo hivyo haibadiliki kila siku hasa niwapo nyumbani, kuna wakati nikiwa posta mpya au kariakoo speed kidogo lakini nyumbani 24/7
 
Something wrong upande wa airtel na mbaya zaidi hawataki kutueleza ukweli wateja wao, na hata ile bundle ya 400mb kwa shilling 2500 matumizi yake si kama pale awali, hata kama hakuna unachodownload lakini baada ya siku 2 ni lazima utakuta imekwisha.

Watanzania tumezidi ukondoo na hatujui ni nini matumizi ya neno Boycott na ndio sababu genge la wezi wowote wale huwa wanakuja kuwekeza Tanzania kwa sababu ndipo wanapoishi makondoo wasiojuwa kuhoji. sijawahi hata kuelewa ule tulioambiwa ni mkonga wa Taifa wa Internet unaopita chini ya Bahari matumizi yake ni nini!?
 
Kwa upande wa bundle kuisha haraka hilo ni kweli mkuu, yaani mb 400 hata bila automatic updates au zero download bado ndani ya siku 2 lazima iwe imeisha, hilo linanishangaza sana, bali navumilia kwakuwa speed ninayoipata ni nzuri tofauti na hapo ningerudi zangu sasatel. Hilo kweli mkuu hata mi nimeliona.
 
Speed inategemea na sehemu ulipo hii ndio speed ninayopata kwa airtel TZ airtel HSPA.PNG
 
hii hapa hiyo screenshot mnayotaka, sasa sijuwi mtataka nini tena. Hili ni file la ukubwa wa mb 68 ndiyp linaanza tu kuwa downloaded na idm inasema itatumia dk 3 ninauhakika itatumia dk 1. Ukisogeza mouse juu ya hiyo picha itajikuza na utaweza kuiona vizuri.. Karibuni tena​

umeona uwongo wako huoo. Ndio mb 87 kwa dakika mbili hizo??. Watu walikuambia kuwa weye unafanya promo ukakataa.
Si speed mbaya lakini umesema uongo.......... Na weye karibu tena
 
umeona uwongo wako huoo. Ndio mb 87 kwa dakika mbili hizo??. Watu walikuambia kuwa weye unafanya promo ukakataa.
Si speed mbaya lakini umesema uongo.......... Na weye karibu tena

paje 800kbps yani ina maana 800 kilo bytes kwa kila sekunde 1

800kb --- sekude moja = 800kb
800kb--- sekunde 10 = 8mb
800kb --- sekunde 100= 80mb

Sekunde 100 = dk 1 na sekunde 40 so ina maana ni chini ya dakika 2 he is right paje
 
airtel wizi mtupu, wafute kabisa bundle ya 400mb watu wajue moja kuliko kudanganya watu na kuwaibia kimachomacho, sijajuwa bado hawa wapuuzi TCRA hasa kazi yao ni nini? TBS hovyo, TCRA hovyo, sijui sisi tumemkosea nini Mungu kutupa viongozi wazembe na wapuuzi kiasi hiki!!??.....
 
Ukiambiwa ufe kwaajili yakuondoa madhambi ya nchi hii utakubari?? Fanya kile ambacho ni sahihi na chenye muamsho wa maendeleo, Usisubiri TCRA wala TBS
 
staff wao nn,mbona mm yangu ipo slow mnoo,u tube video inakatakata kinoma hadi inaboa sasa

Hao za kwao zitakuwa presidential class, hivi kuna kimeo kinanisumbua kama airtel?

Kila saa inajidisconnect na mara kwa mara inaswitch to EDGE ambayo haimudu kufungua pages zote. Kudownload tangazo la ajira la PDF 368MB inachukua dakika 27 halafu mniletee ngonjera mweh!
 
umeona uwongo wako huoo. Ndio mb 87 kwa dakika mbili hizo??. Watu walikuambia kuwa weye unafanya promo ukakataa.
Si speed mbaya lakini umesema uongo.......... Na weye karibu tena
Mkuu hilo file la mb 80 nisingeweza kuliweka public lakini nimeweka hilo la mb 68 kitu ambacho hakina tofauti sana kama alivyokujibu chief mkwawa.
 
Back
Top Bottom