Kwa Hesabu rahisi tu mkuu mie nafanya ulikua unadownload 800kb/sec na file lako lina
34.441mb chukua
34.441x1024kb ili tupate jumla ya kb halafu tugawe kwa speed yako. Tunapata
35267.584kb ukigawa kwa 800kb/sec tunapata
44.08 seconds kudownload hiyo
34mb. Sasa mkuu hii speed inaonekana net ili shake so wakati inarudi ikaboost kwa ku kuread data ambayo ilikua imesha kuwa downloaded ikaisoma kwa kasi Tena kwa taarifa yako hata 1.6mb/sec inawezekana kwa hiyo situation lakini inafall very fast.
Kwa hizo
mb 34.441-20.916=13.525mb which is equvalent to
13,849.6kb tukigawa kwa
800kb/sec tunapata
17.31 seconds na sio
31sec kama inavyoonyesha. kiuhalisia ww unaopata
400kb/sec tena unaipata kwa shida sana.
Hiyo nimetumia speed ya
800kb/sec cjatumia ile ya
858.843kb/sec.
Mkuu kajipange tena.
fadhili paulo