Habari jf
Kwanza mi siyo mfanyakazi wa airtel, muda mrefu nilikuwa natumia sasatel lakini airtel walipoanzisha 3g nikahamia kwao, sababu ya speed ninayoishuhudia siku hadi siku nimeona si vibaya nikisema lakini kumbe sijuwi wengine humu hawapendi.
Sijuwi namna ya kufanya hiyo screenshot lakini nitajitahidi niiweke.
Nipo dar, natumia windows xp sp3, single processor 1.7, RAM 1.5gb, Natumia googlechrome kama browser, Nadownload kwa kutumia IDM last version. Nimefunga kama program 6 tu hivi na nina free space upande wa os ya gb 9.
Mara nyingi ninapounganisha internet huandikiwa chini ''Airtel Tanzania is now connected 7.2 mb/ps, ninapodownload speed huwa 500kb mpaka 700. Natumia airtel broadband huawei E173. Na hutumia bundle ya mb 400 kwa sh 2500 kila mara ikiisha nanunua nyingine.
Nitaleta screenshot