Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,756
picha za mwaka 2010 zinatumiwa leo na wafuasi wa chadema kudanganya umma. si kwenye mitandao ya kijamii, gazeti la tz daima na hata itv
Nilipo-bold ni ujumbe tosha kwa MM na wasaliti wenzake.Speed ya chama cha Demokrasia na Maendeleo mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Mwanza ilikopamba na fitna nyingi za CCM na wasaliti waliokuwa wanachama wa chama hicho Zitto, Matata, Habibu, Amani Kabouru (Mwenyekiti CCM Kigoma) kwa usimamizi wa karibu kabisa na chama cha majagili,mafisadi.
picha za mwaka 2010 zinatumiwa leo na wafuasi wa chadema kudanganya umma. si kwenye mitandao ya kijamii, gazeti la tz daima na hata itv
Crash wise hapa ni tayari, kumeshakucha, CCM Bye Bye.
[h=1]Dk Slaa apokewa kwa mabango Kakonko, Kigoma[/h]Tupe za 2013.. Mkuu pole sana.
Mmebakia kutengeneza picha na kuleta JF akili za gongo hatari sana.
Gongo limeishakuharibu ubongo wewe wala haujitambui.
chadema wauwaji wakubwa
Mmebakia kutengeneza picha na kuleta JF akili za gongo hatari sana.
picha za mwaka 2010 zinatumiwa leo na wafuasi wa chadema kudanganya umma. si kwenye mitandao ya kijamii, gazeti la tz daima na hata itv
[h=3]Dr. Slaa akutana na mabango Kigoma.[/h]Tupe za 2013.. Mkuu pole sana.
hakuna kulala mpaka walisha watu sumu, wamwagia watu tindikali, walipua watu na mabomu na wapora wake za watu watokomezwe!!!!!!!!!!!!!!