BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,220
- 39,056
Pro Nato wote sijui hawaoni aibu kipindi kile taarifa zikija kuwa Bakhmuti ishachukuliwa na Urusi wanahoma utasikia urusi wanachakazwa huko bhakhimuti, ikaenda media za ulaya propaganda zikaacha kabisa story za bhakmuti, leo hata hawakumbushii, sory imeisha Russia ni mwamba pale bhakhmuti.
Wakaja na counteroffensive hii walikuwa wanaipigia promo bila kusema wanataka kuirudisha bhakhmuti wakawa hawataji jina la mji wanasema tu kurudisha maeneo ya Ukraine.
Leo counteroffensive imekufa kabisaaa. Russia ia a king na isingekuwa sheria za kimataifa. Ukraine ingebak historia Duniani
Sio sheria za Kimataifa, Russia hakuna cha kumzuia sema Russia wana huruma sana.