kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 10,764
- 13,198
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
jingine hili hapaUko sawa sana
kwaninkatukanwa yeye mwenyewe ndio alikir hivyo wacha hasiraBadala ya kujibu alichoandika unamtukana.
Hi🤭🤭🤭🤭🤭😁🤭🤭🤭🤭
agoolge
Naona mtoto mzuri ushatoka Sinza na hiyo Passo yako kupumuliwa. Nitakuja kukupaka mafuta endelea kujitongozeshaT14 Armata punguza kupiga punyeto kwenye majaruba ya mpunga. Utapata kichocho!
Hamna mwenye akili hawa mashabiki wa jeshi la babantilie aliyeasi madiktekaMkuu T14 Armata huwa una madini mazuri ila kwenye huu uzi ni sawa unajaribu kuwafundisha nguruwe usafi. Hapa naona wanakutusi tu hakuna wa kujibu hoja.
Umsikie ukiwa kuzimu au? Wapi uliona Marekani ina Waziri MkuuUmewah kumsikia waziri mkuu wa marekani akitajwa?
Mkuu, kula tano.Mkuu Proved Wewe ni miongoni mwa watu naofuatilia sana habari zako hapa jamvini.
Ila leo naomba nikueleze kitu na wewe nenda kafanye homework yako.
Kunakitu kinaitwa Hybrid warfare
Sasa ipo hivi.
Russia hybrid warfare, unayoiona sasa hivi, ambayo kwa miaka mingi imekuwa inawasumbua hao US and NATO imekuwa designed na huyu General Valery Gerasimov
Huyu Valery Gerasimov alii design hii Hybrid warfare wakati akiwa ni officer wa kawaida tu kwenye Russia Army (kabla hajawa General). Hii ishu ipo well documented.
Kwa hiyo unapomuongelea General Valery Gerasimov, usifikiri ni mtu ambaye ni light weight.
Go and do your homework na utapata majibu.
Nyinyi kama mko concerned na international affairs za Russia ila niko concerned na Russia kwa ujumla.Pengine ni suala la mgawanyo wa majukumu zaidi, pengine PM ana deal zaidi na domestic issues kama elimu, afya, maji, miundombinu n.k ndio maana in respect na issues za int affairs ambazo sisi ndio tuko connected nazo zaidi kuhusu Russia, ndio maana hatumsikii kabisa.
Mkuu, kwa wenzetu hawa ukiwa Chief of General Staff kama Gerasimov au wa US na nchi zingine kubwa Duniani ni lazima uwe unayafahamu haya yote.Nkuba25,
Ninavyofahamu, Hybrid Warfare in matumizi ya vitendo mbalimbali vyenye lengo la kudistablize au kumvuruga adui iwe katika vita au isiwe katika vita.
Mfano wa vitendo vya Hybrid Warfare ni;
1. Kuingilia chaguzi (Interference in electoral process),
2. Mashambulizi ya mtandao (Cyber attack),
3. Kusambaza habari za uongo (disinformation and dissemination of false news),
4. Matumizi ya mbinu za kiuchumi (Financial instruments), nk.
Napata mashaka kama kweli huyo Generali wa Urusi ndiye aligundua haya yote.
Kwamba yeye ndiye aligundua Cyber attack! Yeye aligundua kuingilia chaguzi! Yeye huyo huyo akagudua usambazaji wa habari za uongo, nk!
Mimi sikubishii sababu sina hakika, nimetumia tu logic ndio maana nimesema pengine, ila wewe uko assured, tumalize maneno nisaidie rejea za kisheria zinazoonyesha Majukumu ya waziri mkuu wa urusi.Nyinyi kama mko concerned na international affairs za Russia ila niko concerned na Russia kwa ujumla.
Kipindi Medvedev akiwa Waziri Mkuu mbona alikuwa anasikika na katiba ni hiihii haijabadilishwa?
Ina maana Mishustin kaja na utaratibu wake mwenyewe unaompa majukumu tofauti na aliyokuwa nayo Medvedev?
Hamna mwenye akili hawa mashabiki wa jeshi la babantilie aliyeasi madikteka
Supapawa ameamua kununua silaha Hadi kwa kataiwani!US to buy back decommissioned HAWK missiles from Taiwan to send to Ukraine
The US is planning to repurchase decommissioned HAWK air defence missiles it sold to Taiwan and redirect them to Ukraine as part of a military aid package, according to the China Times.
Citing unnamed sources, the paper claims Washington and Taipei agreed on the repurchase after consultations with senior security officials as early as last year.
The transfer is set to be carried carried out under the $2.1bn (£1.6bn) defence aid package announced by the US on 9 June.
The MIM-23 HAWK is an American medium-range surface-to-air missile system developed by Raytheon.
It entered service in 1960 and is still being used by Egypt, Greece, Saudi Arabia, Spain, Sweden, and other countries.
The Ukrainian military has also used HAWK air defence systems provided by Spain.
In January, the US reportedly asked the Israeli government to transfer its old Hawk anti-aircraft missiles in storage to Ukraine, but Israel declined.
===========================
Hii silaha ni ya miongo mingi iliyopita ila bado inaweza kuleta ufanisi.
It entered service with the US Army in 1959.
MIM-23 Hawk Type Surface-to-air missile
T14 Armata
Rais wa India na Rais wa Israel naomba kuwajua PlzAkijibu atwambie wa Israel pia anaitwa nani na kwanini hasikiki
The president of India (IAST: Bhārat kē Rāṣṭrapati) is the head of state of the Republic of India. The president is the nominal head of the executive,[a] the first citizen of the country, as well as the commander-in-chief of the Indian Armed Forces. Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022.Rais wa India na Rais wa Israel naomba kuwajua Plz
President of India | |
---|---|
Bhārat kē Rāṣṭrapati | |
Emblem of India | |
Flag of India | |
Incumbent Droupadi Murmu since 25 July 2022 | |
Head of state of the Republic of India Executive branch of the Indian Government | |
Style |
|
Type | Head of state |
Abbreviation | POI |
Residence |
|
President of the State of Israel | |
---|---|
נשיא מדינת ישראל | |
Presidential standard | |
Incumbent Isaac Herzog since 7 July 2021 | |
Style | His Excellency |
Residence | Beit HaNassi |
Appointer | Knesset |
Term length | Seven years, non-renewable |
Inaugural holder | Chaim Weizmann |
Deputy | Speaker of the Knesset |
Salary | US$173,255 annually[1] |
Website | Israel presidential website |
India sijui kama wana rais ila wa Israel ni Isaac "Boogie" HerzogRais wa India na Rais wa Israel naomba kuwajua Plz
Rais wa India ni Droupadi MurmuIndia sijui kama wana rais ila wa Israel ni Isaac "Boogie" Herzog