Oooh Zelenksy analala na mishumaa

️The Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyi said that Russian forces lost twice as many aircraft in Ukraine than the Soviet Union during the 10-year war in Afghanistan.

"278 Russian aircraft in Ukraine against 118 Soviet aircraft in Afghanistan.
Russia ina aircraft nyingi Sana sio tatizo
 
️The US will maintain the presence of additional troops in Europe for a long time. In particular, in Poland and other NATO countries, – US President Joe Biden says during the briefing.

Follow
@Flash_news_ua
 
Huko Kherson Supapawa kila siku anatumiwa salamu za Makombora Endeleeni kushangilia kukatika kwa Umeme Kyiv

️ In the temporarily occupied Kherson, smoke can be seen after the explosions. The photo is published by local mass media.

Follow @Flash_news_ua

Leo pekee UKRAINE kapoteza soja 369 SASA ninyi mantuonesha picha za moshi mkubwa . Kuweni siraiazi kidogo . Yale mambo ya supa pa wa wa mchongo blablah KAZIMGIRWA na konyo
 
Tulijua tu Supapawa ni Muongo Muongo

️ IAEA finds no evidence that proves Russia's 'dirty bomb' accusations.

The IAEA experts have finished in-field inspections in Ukraine and found no "indications of undeclared nuclear activities," said the agency's chief, Rafael Grossi.
 
Supapawa alidhani akijitoa watu watambembeleza,wakaendelea na mishe zao akaamua arudi kwa aibu

️New York Times: Russian military bloggers criticize Putin for rejoining grain deal.

Yuri Podolyaka told his 2.8 million Telegram followers “this weakness will have a negative impact on everything: at the front lines, in the rear, in the international arena," NYT reported.

NYT also quoted Sergei Markov, a political analyst, as writing on Telegram: “Does all this look like a humiliating defeat for Moscow?” to which he answered, “Yes,” adding that Moscow paid “little attention to its image."
 
Russia yadai imezuia shambulizi la Ukraine lililolenga kinu cha nyuklia​

Waokoaji wa idara ya Huduma ya Dharura wakiwa katika eneo lililoharibiwa kufuatia shambulizi la mabomu yanayopigwa na majeshi ya Russia huko Zaporizhzhia, Ukraine, Oct. 6, 2022.

Waokoaji wa idara ya Huduma ya Dharura wakiwa katika eneo lililoharibiwa kufuatia shambulizi la mabomu yanayopigwa na majeshi ya Russia huko Zaporizhzhia, Ukraine, Oct. 6, 2022.

Russia ilisema Alhamisi kuwa imezuia shambulizi la Ukraine lililolenga kinu cha nishati ya nyuklia cha Zaporizhzhia kinachodhibitiwa na Russia, kulingana na afisa wa ngazi ya juu wa Russia.

Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia Nikolai Patrushev ameyalaumu majeshi ya Ukraine kwa kutekeleza shambulizi kwenye kinu cha nyuklia, akisema wanatumia “silaha za Magharibi ambazo zinaweza kupelekea kutokea janga kwa ulimwengu mzima.”

Tamko la Patrushev limekuja baada ya mkuu wa jeshi la Ukraine kusema awali kuwa mashambulizi ya Russia yalilenga eneo kubwa la nchi kwa mashambulizi ya makombora, kuharibu miundombinu na usambazaji wa nishati katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia, ambacho ni kikubwa kabisa Ulaya.

Nikolai Patrushev

Nikolai Patrushev

Kinu hicho kilichopo kusini mwa Ukraine kimezimwa, maafisa walisema, kina uharibifu kwenye njia za kusambaza umeme wa nguvu ya juu na kinategemea majenereta yanayotumia dizeli, kampuni ya kuzalisha umeme ya Ukraine, Energoatom ilisema.

“Adui huyu anajaribu kuendelea kuyakamata kwa muda maeneo aliyoyateka, akiongeza juhudi kuzuia hatua za majeshi ya ulinzi katika baadhi ya sehemu,” mkuu wa jeshi la Ukraine alisema Alhamisi.

Pande zote zinakanusha madai ya kila upande. Lakini, mapigano makali yameripotiwa katika mikoa ya mashariki ya Luhansk na Donetsk, kulingana na ripoti, na mashambulizi ya Russia yameripotiwa huko Kriviy Rih, katikati ma Ukraine, na huko Sumy na Kharkiv, upande wa kaskazini mashariki.

Siku ya Alhamisi, kikundi cha G7 cha nchi zinazofuata demokrasia zitakutana katika mji wa Muenster magharibi mwa Ujerumani kwa siku mbili kujadili njia bora ya kuratibu na kuendelea kutoa msaada kwa Ukraine.

Mkutano huo unakuja huku mashambulizi mapya ya Russia yakielekezwa katika miundombinu ya nishati ikisababisha kukatika umeme kila mahali, kulingana na ripoti.
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-194820_Facebook.jpg
    Screenshot_20221103-194820_Facebook.jpg
    198 KB · Views: 1
Tulijua tu Supapawa ni Muongo Muongo

️ IAEA finds no evidence that proves Russia's 'dirty bomb' accusations.

The IAEA experts have finished in-field inspections in Ukraine and found no "indications of undeclared nuclear activities," said the agency's chief, Rafael Grossi.
Walitaka kufanya hivyo lakini Warusi wakajua kila kitu kwahiyo wakaahirisha Kwa sababu wakifanya hivyo wangekiona.
 
Supapawa alidhani akijitoa watu watambembeleza,wakaendelea na mishe zao akaamua arudi kwa aibu

️New York Times: Russian military bloggers criticize Putin for rejoining grain deal.

Yuri Podolyaka told his 2.8 million Telegram followers “this weakness will have a negative impact on everything: at the front lines, in the rear, in the international arena," NYT reported.

NYT also quoted Sergei Markov, a political analyst, as writing on Telegram: “Does all this look like a humiliating defeat for Moscow?” to which he answered, “Yes,” adding that Moscow paid “little attention to its image."
Russia ndo anasimamia njia ya kusafirisha chakula.waziri wa turkiye akawambembeleza.alafu wewe unaokotaokota habari tu.eti source yako new York times
 
Wakati Babu Putin anapiga miundombinu Zelenksy anabomoa ammo depots huko Kherson kila kukicha.

Leo zimepigwa boti zao ambazo walizificha chini ya Daraja la Antonovsky,Jambo lilizidi kunishangaza jinsi HIMARS zilivyo na shabaha yaani zimepenyaje chini ya Daraja na kuzibutua boti za Babu Putin.
Kherson haikaliki......wataweza kweli kuzuia hii counter offensive ?
 
Oooh Zelenksy analala na mishumaa

️The Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyi said that Russian forces lost twice as many aircraft in Ukraine than the Soviet Union during the 10-year war in Afghanistan.

"278 Russian aircraft in Ukraine against 118 Soviet aircraft in Afghanistan.
Kwa Zelensky hata drone ni aircraft duh... Russia imetumia mara chache sana airforce yake na hiyo mara chache imetumia bombers kama TU-95 na Tu-160 midege ambayo inaruka juu sana na ina uwezo wa kutupia missles yakiwa mbali...

Airforce ya Russia inaisubiri NATO
 
Russia ndo anasimamia njia ya kusafirisha chakula.waziri wa turkiye akawambembeleza.alafu wewe unaokotaokota habari tu.eti source yako new York times
Kwahiyo ulitaka nilete source ya Sputnik?!

Si juzi hapa Russia ilijitoa Uturuki ikasema itaendelea na hayo makubaliano ndio Russia akaiomba Ukraine imhakikishie Ulinzi wa Meli zake ndipo arejee au mwenzetu ulikua huna Bando
 
Mkuu naomba niku sahihishe kidogo... US hauzi silaha hapo Ukraine

US yeye ndiye anapigana Vita hapo Ukraine. Sasa unawezaje kuwa wewe ndiye unapigana Vita halafu wewe ndiye "unajiuzia silaha".

Hiyo Vita hapo ni Kati ya US/NATO na Russia. Ukraine Wala sio yeye anayepigana Vita.

Ndio maana Zelensky kila siku anatoa demands... Ili muendelee kupigana Vita kwenye ardhi yangu, Sasa embu nipeni dollar kadhaa wa kadha...

Acha kupotosha umma!!Hapo NATO haw app kabisa,fikiria Kama Russia kashindwa tu kuukamata mji mkuu Kiev miezi 8 sasa anahangaika Je wazee wa mitulinga wangekuwa huko kazi wangekuwa wameimaliza kabisa.Kwanza sasa hivi Russia Askari wake wengi wameliwa huko Ukraine ndiyo maana Putin kaandikisha wengine 300.000 bahati mbaya kabisa vijana wengi walikimbia nchi Kwa kuogopa Kwenda kufia Ukraine.Matokeo yake aliamua kuchukua wazee na wafungwa kutoka katika magereza ya huko Russia Kibada zaidi hao hawakupewa mafunzo ya kutosha maana ilikuwa mafunzo Siku mbili unapelekwa Mstari WA Mbele na kuwa kama chambo.Ndiyo maana askari wa Russia wanauliwa kama nzige.Askari anaowategemea russia ni Mamluki kutoka Wagner PMC,Syria,Afrighanstan na Mamluki kutoka chechnya bila hao Russia hana ubavu wowote kupambana na Ukraine.Kwa hiyo ni uongo mtupu kusema NATO wako ulingoni wakiingia hao Putin anasambaratishwa mapema asubuhi!!!
 
Back
Top Bottom