Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,679
- 21,096
🔥🔥🔥If everything goes according to plan, 255 soldiers will surrender till its dark at Azovstal today🔥🔥🔥
Hapana sio kashfa mkuuAisee umenichekesha sana,jamaa ana aliki ndogo kiasi unashangaa anawezaje kuishi. Ha ha haaa 👋👋👋
Aisee watu mnajua kukashifu.
afu kajificha kwenye shamba la karanga matako yote kayaacha juuAibu anayopata US kutoka kwa Russia ni sawa na kumuogesha mtu mzima nje mbele ya watu. US anapitia magum sana.
wana maana ya kutatua mikunjo ya marinda bila kiwembe.Ant Nato inaboreshwa... tukae kwa kutulia, wanaume wanaamua... ingieni RT live, haya mambo hutayaona BBC au CNN. Sasa CSTO inaboreshwa vilivyo itajitanua duniani kote. Watu wanatembea wametunza mafuta ya mgando sikioni, sijui wana maana gani...
Tule tu video clip chief...usisahau kudondosha hapa🔥🔥🔥If everything goes according to plan, 255 soldiers will surrender till its dark at Azovstal today🔥🔥🔥
afu kajificha kwenye shamba la karanga matako yote kayaacha juu
Kwa hiyo wasingeweza hata kutoka huku mikono ikiwa kichwani.Ukraine yaiangukia Russia baada ya wanajeshi na wapiganaji wa Ukraine kuzingirwa na majeshi ya Russia na kupigwa na njaa na majeraha kwa wiki kadhaa.
Russia imekubali (baada ya kuombwa sana na Ukraine) kuruhusu wanajeshi majeruhi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko kiwandani Azovstal, Mariupol wachukuliwe na kupelekwa hospitali ktk maeneo yanayotawaliwa na Russia nchini Ukraine (Donetsk na Luhansk).
Kuna wanajeshi zaidi ya 600 wa Ukraine waliojeruhiwa waliokuwa wamejificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol.
Habari hiyo imer8potiwa na chombo cha habari cha Ukraine hapa chini
View attachment 2227172View attachment 2227174View attachment 2227173
Marekani wamezoea damu. Sasa imerudi nyumbani.Best place to live on Earth, Hold on 🤗
One dead, four critically injured in California church shooting
📝 One person was dead and four people were "critically" injured in a shooting at a church near Los Angeles, law enforcement said Sunday, just one day after a gunman killed 10 people at a grocery store in New York state.
Hawa wenye misimamo ya wastani hawana shidaRussian Neo Nazis public rally, View attachment 2226926View attachment 2226927