Ukraine yaiangukia Russia baada ya wanajeshi na wapiganaji wa Ukraine kuzingirwa na majeshi ya Russia na kupigwa na njaa na majeraha kwa wiki kadhaa.

Russia imekubali (baada ya kuombwa sana na Ukraine) kuwachukua wanajeshi majeruhi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko kiwandani Azovstal, Mariupol na kuwapeleka hospitali ktk maeneo yanayotawaliwa na Russia nchini Ukraine (Donetsk na Luhansk).

Kuna wanajeshi zaidi ya 600 wa Ukraine waliojeruhiwa waliokuwa wamejificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol.

Habari hiyo imeripotiwa na chombo cha habari cha Ukraine hapa chini

View attachment 2227172View attachment 2227174View attachment 2227173

Russia ana huruma sana aseee
 
.
Screenshot_20220516-232005.jpg
 
Kule Cuba and Iran hapa Iran and Russia, what a move

View attachment 2227237

NIOC: Russians to start developing two Iranian oil fields 'soon'

Russians will soon start “executive operations” on developing two oil fields in Iran, Managing Director of the National Iranian Oil Company (NIOC) Mohsen Khojastehmehr has said.

Hapa west ndo watajua hawajui tulisema Russia sio somalia
 
Kile kisichokuua, kitakuimarisha, CUBA and Irani again.

"900" itapendeza 🤣

IMG_20220516_233006_803.jpg

Iran to swap crude oil for grains from Cuba: Deputy FM

đź“ť Iran will swap its crude oil for grain shipments from Cuba as part of agreements reached between senior officials from the two countries in recent weeks, says a senior Iranian Foreign Ministry official.
 
Russia hana uwezo tena wa kupigana na Nchi za Ulaya na Ukraine Kwa wakati mmoja kuweni Realistic

Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.

Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.

Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.

Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia

GOD BLESS RUSSIA
 
️Turkey cannot say "yes" to Finland and Sweden's membership in NATO, it's impossible, let them not be offended - Erdogan

The Turkish President also added that the delegations from Finland and Sweden should not bother to travel to Turkey to convince Ankara to change its position on their entry into NATO.
Kuna vichwa vingine ukiona madini vinavyotema hadi unatamani uvikodi vije kuongoza kwenye nchi yetu ya loyal tour.

Huyu mwamba Erdogan ni smart sana na anawatesa sana wenzie wa NATO, maana ni rais asiepelekeshwa wala kupangiwa na hao wauaji linapokuja suala la masilahi ya taifa la watu wake.

Walibweka na kumuonya kuhusu kununua siraha kwa mrusi S400 lakini akawapuuza akaagiza mzigo ambao mpaka leo anao na hakuna kitu watamfanya, waliweka vikwazo yeye akakataa, wakaanza kuchochea vita yeye akaanzisha mchakato wa mazungumzo ya kumaliza mgogoro na sasaiv wameanza kumtishia endapo atakataa swiden na Finland kujiunga NATO, mwamba hata hatishiki bado anasimamia msimamo wake anao ona ndo salama zaidi kwa masilahi ya amani na maisha ya raia wasio kuwa na hatia.
Sasa ndo nimegundua kwanini putin anamheshimu sana erdogan kuliko kiongozi yeyote yule wa nchi za NATO.

"ITS IMPOSSIBLE LET THEM NOT BE OFFENDED" Pres.Erdogan.
 
Bw Putin anaonyesha dalili za kutopinga zaidi kuingia kwa Finland na USwidi katika NATO kama roketi na silaha za nyuklia za NATO haziingizwi ndani ya mipaka yao.
Tukumbuke Warusi walisema awali hawawezi kukubali nchi hizo kujiunga na NATO; sasa anataja tu "kueneza miundombinu za kijeshi za NATO". Uswidi waliwahi kusema tangu mwanzo hawataki vituo vya majeshi ya nje ndani ya maeneo yao.
Hivyo naona Putin anatumia akili akijua hawezi kufanya kitu chochote. Maana hana uwezo siku hizi kushambulia Finland, jeshi lake liko Ukraine ambako linaona wakati mgumu.
Nahisi ameelewa pia kwamba matishio yake yalileta matokeo ya kinyume hivyo haoni faida kuongeza maneno matupu; anajitahidi kutofunga milango kabisa kwa majirani yake.

Hapa chini makala ya financial Times ya UK:

Putin signals acceptance of Finland and Sweden joining Nato

Russian president warns of response if alliance places military bases or equipment on new territories
Vladimir Putin has signalled Russia will tolerate Finland and Sweden joining Nato, but warned the Kremlin would respond if the alliance installed military bases or equipment in either country. The Russian president said on Monday the proposed Nato enlargement posed “no direct threat for Russia”, adding he had “no problems” with either Finland or Sweden. Speaking on a day that Sweden formally announced its membership application while acknowledging it would remain “vulnerable” until it joined, Putin warned that “expanding military infrastructure on to this territory would provoke a response from us [ . . .] based on the threats they create for us”.
His comments appeared to indicate the Kremlin could live with Finnish and Swedish Nato membership provided the military alliance did not dispatch arms or troops to the two countries — as it did in the Baltic states and eastern Europe in the run-up to Russia’s invasion of Ukraine. Sweden has repeatedly said it does not want Nato military bases on its soil or to host nuclear missiles. Finland is thought to be unlikely to want either, but said on Sunday that it would not set conditions before its membership. Putin said Nato expansion in itself was “a completely artificial problem because it’s all done in US interests”. He added: “The problem has basically come out of nothing, but we’ll react to it appropriately” and also complained that Nato was trying to “control and influence the international security situation in other parts of the world, not for the best”.

The proposed Nato expansion highlights the extent to which Russia’s invasion of Ukraine has transformed the geopolitical map of Europe. It is a significant setback for Putin, who justified the invasion by saying he wanted to prevent the alliance expanding further east. Instead, the enlargement will double the alliance’s frontier with Russia and in Sweden’s case break with two centuries of neutrality.
Samuel Charap, a senior political scientist at the Rand Corporation, said Russia was trying to make the best of a situation beyond its control by drawing a line similar to constraints on Norway’s Nato membership during the Cold War. “They’re not in a position to be fighting a second war,” Charap said. “Occupying and invading Finland is far-fetched. They’re signalling they’re not going to do more than establish conditions.” Tatiana Stanovaya, founder of Russian political consultancy R. Politik, said Putin’s comments showed he saw Nato as a threat to Russia’s traditional dominance of its former empire, rather than a strategic military problem. “So Nato can exist in the west, but not in our backyard. Ukraine, Georgia, and Moldova are historically our backyard,” she wrote on messaging app Telegram. Sweden and Finland will send in their applications for Nato later this week. Swedish prime minister Magdalena Andersson formally announced her country’s membership bid on Monday alongside centre-right opposition leader Ulf Kristersson, in a sign of unity ahead of parliamentary elections in September. “Sweden will be in a vulnerable position while our application is being processed,” said Andersson. For both Finland and Sweden, the period between application and actual membership could last between four and 12 months. But while Finland has said it is calm and prepared for whatever Russia may throw at it, Sweden has said it is worried about potential cyber and hybrid attacks.
Norwegian prime minister Jonas Gahr Støre and Danish premier Mette Frederiksen added that they would come to Finland’s or Sweden’s aid should either be attacked before they were covered by Nato’s Article 5 collective defence pledge. The UK has also promised to come to Sweden and Finland’s aid, including with military assets, if they come under attack and request assistance. Jacob Wallenberg, Sweden’s leading industrialist, became the country’s most prominent business figure to come out in favour of Nato membership on Monday when he said joining would be “positive” and that doing so together with Finland was important.
 
Ukraine yaiangukia Russia baada ya wanajeshi na wapiganaji wa Ukraine kuzingirwa na majeshi ya Russia na kupigwa na njaa na majeraha kwa wiki kadhaa.

Russia imekubali (baada ya kuombwa sana na Ukraine) kuwachukua wanajeshi majeruhi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko kiwandani Azovstal, Mariupol na kuwapeleka hospitali ktk maeneo yanayotawaliwa na Russia nchini Ukraine (Donetsk na Luhansk).

Kuna wanajeshi zaidi ya 600 wa Ukraine waliojeruhiwa waliokuwa wamejificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol.

Habari hiyo imeripotiwa na chombo cha habari cha Ukraine hapa chini

View attachment 2227172View attachment 2227174View attachment 2227173
Halafu ndo anatokea mla mihogo mikavu na maji ya kandolo anakwambia Russia ina jeshi dhaifu na imeshindwa vita.

Infact, ni mpumbavu pekee ndo anaweza kusema kuwa Russia anapigana Vita na Ukraine, ila kwa sisi wenye akili tunachojua nikuwa Russia yeye anaendesha operation ya kijeshi then Ukraine ndo yupo kwenye full scale war (rejea Marshall law iliyopitishwa na zelensky)
Kwahiyo kitaalamu tunasema ni War(Ukraine) Vs Special millitary operation (Russia).

Kama Urusi ingekuwa kwenye level ya vita isingejihangaisha kuzichukua hizo panya zilizojipeleka shimoni zenyewe kwenda kuzitibu kwa gharama zake na kujaza nafasi kwenye millitary base zake, badala yake angechochea tu mabomu humo shimoni ili hizo panya zote zigeuke kuwa majivu.

Nilichogundua Putin siyo mkorofi au katili kama propaganda za western zinavyomhubiri. putin ni miongoni mwa marais wenye hekima, busara, huruma na smart sana,

Kwanini nasema hivo; siku za nyuma kiongozi wa chenchen alimuomba putin awaruhusu wapiganaji watembeze kichapo heavy, putin hakukubali, huko Maripo Majeral wake walikuwa wamefikia hatua ya kutaka kuanza kumimina mabomu kwenye kiwanda cha chuma ili Azov wote waliojificha huko wageuke kuwa majivu, putin akatoa order ya kusitisha operation hiyo, badala yake akatoa order ya kuwalinda uhai wao ili atakae ona anataka kuendelea kuishi atajisalimisha mwenyewe na atake ona nibora kufa atajiua mwenyewe huko shimoni.
Sasahivi ametoa ruhusa tena ya majeruhi wote kutolewa na kwenda kuwatibu licha ya hao kumuita the butcher, the bastard, the terrorist na n.k. ukirejea hata kauli aliyoitoa leo kuhusu Finland na sweden kujiunga NATO utaona jinsi gani huyu mwamba alivyo smart na si mtu wa kupaniki.

Viva Hon. Putin the greatest leader in the world that shakes more than 40 leaders from 40 powerfull countries.
 
Bw Putin anaonyesha dalili za kutopinga zaidi kuingia kwa Finland na USwidi katika NATO kama roketi na silaha za nyuklia za NATO haziingizwi ndani ya mipaka yao.
Tukumbuke Warusi walisema awali hawawezi kukubali nchi hizo kujiunga na NATO; sasa anataja tu "kueneza miundombinu za kijeshi za NATO". Uswidi waliwahi kusema tangu mwanzo hawataki vituo vya majeshi ya nje ndani ya maeneo yao.
Hivyo naona Putin anatumia akili akijua hawezi kufanya kitu chochote. Maana hana uwezo siku hizi kushambulia Finland, jeshi lake liko Ukraine ambako linaona wakati mgumu.
Nahisi ameelewa pia kwamba matishio yake yalileta matokeo ya kinyume hivyo haoni faida kuongeza maneno matupu; anajitahidi kutofunga milango kabisa kwa majirani yake.

Hapa chini makala ya financial Times ya UK:

Putin signals acceptance of Finland and Sweden joining Nato

Russian president warns of response if alliance places military bases or equipment on new territories
Vladimir Putin has signalled Russia will tolerate Finland and Sweden joining Nato, but warned the Kremlin would respond if the alliance installed military bases or equipment in either country. The Russian president said on Monday the proposed Nato enlargement posed “no direct threat for Russia”, adding he had “no problems” with either Finland or Sweden. Speaking on a day that Sweden formally announced its membership application while acknowledging it would remain “vulnerable” until it joined, Putin warned that “expanding military infrastructure on to this territory would provoke a response from us [ . . .] based on the threats they create for us”.
His comments appeared to indicate the Kremlin could live with Finnish and Swedish Nato membership provided the military alliance did not dispatch arms or troops to the two countries — as it did in the Baltic states and eastern Europe in the run-up to Russia’s invasion of Ukraine. Sweden has repeatedly said it does not want Nato military bases on its soil or to host nuclear missiles. Finland is thought to be unlikely to want either, but said on Sunday that it would not set conditions before its membership. Putin said Nato expansion in itself was “a completely artificial problem because it’s all done in US interests”. He added: “The problem has basically come out of nothing, but we’ll react to it appropriately” and also complained that Nato was trying to “control and influence the international security situation in other parts of the world, not for the best”.

The proposed Nato expansion highlights the extent to which Russia’s invasion of Ukraine has transformed the geopolitical map of Europe. It is a significant setback for Putin, who justified the invasion by saying he wanted to prevent the alliance expanding further east. Instead, the enlargement will double the alliance’s frontier with Russia and in Sweden’s case break with two centuries of neutrality.
Samuel Charap, a senior political scientist at the Rand Corporation, said Russia was trying to make the best of a situation beyond its control by drawing a line similar to constraints on Norway’s Nato membership during the Cold War. “They’re not in a position to be fighting a second war,” Charap said. “Occupying and invading Finland is far-fetched. They’re signalling they’re not going to do more than establish conditions.” Tatiana Stanovaya, founder of Russian political consultancy R. Politik, said Putin’s comments showed he saw Nato as a threat to Russia’s traditional dominance of its former empire, rather than a strategic military problem. “So Nato can exist in the west, but not in our backyard. Ukraine, Georgia, and Moldova are historically our backyard,” she wrote on messaging app Telegram. Sweden and Finland will send in their applications for Nato later this week. Swedish prime minister Magdalena Andersson formally announced her country’s membership bid on Monday alongside centre-right opposition leader Ulf Kristersson, in a sign of unity ahead of parliamentary elections in September. “Sweden will be in a vulnerable position while our application is being processed,” said Andersson. For both Finland and Sweden, the period between application and actual membership could last between four and 12 months. But while Finland has said it is calm and prepared for whatever Russia may throw at it, Sweden has said it is worried about potential cyber and hybrid attacks.
Norwegian prime minister Jonas Gahr Støre and Danish premier Mette Frederiksen added that they would come to Finland’s or Sweden’s aid should either be attacked before they were covered by Nato’s Article 5 collective defence pledge. The UK has also promised to come to Sweden and Finland’s aid, including with military assets, if they come under attack and request assistance. Jacob Wallenberg, Sweden’s leading industrialist, became the country’s most prominent business figure to come out in favour of Nato membership on Monday when he said joining would be “positive” and that doing so together with Finland was important.
Ukiwa na akili ndogo unaweza ukachelewa sana au usimuelewe kabisa Mr putin kabla ya muda ya kuona output za mipango yake haujafika.

Putin anajua kabisa Sweden na Finland haziwez kujiunga NATO na hata zikijiunga basi itachukua miaka mingi licha ya wao kutuma maombi.

Na putin anaelewa kabisa ili uwe mwanachama wa NATO inatakiwa nchi wanachama wote wakukubali sasa Putin ashaona kabisa kwanini atumie nguvu ya jeshi na kuua raia bure wakati uturuki ambaye nyuma ya pazia ni mshirika mkubwa wa Urusi ashasema atapinga Finland na Sweden kujiunga NATO.
na naomba tuelewe vizuri hapa, miongoni mwa nchi ambayo huwa hairudi nyuma kwenye maamuzi yake ni uturuki.

Tujikumbushe tu maamzi machache ya uturuki (as a NATO member) ambayo hayakuyumbishwa;

*Vita kati ya USA na Vyetenam - Uturuk iligoma magari vita na vikosi vya ardhini vya USA kutumia ardhi yake kuingia vyetenam.

*Uturuk ilitupilia mbali onyo la USA na NATO wenzie juu ya ununuz wa silaha kutoka Urusi (S400 na n.k)

*Uturuki iligoma kuungana na wenzie kuchochea mgogoro wa Ukraine badala yake ikasimama upande wa kusuluhisha.

*Uturuki ilifanya na bado inaendelea kufanya special operation huko iraq kupambana na magaidi bila ruhusa ya USA wala NATO.

*Uturuki ndo nchi pekee mpaka sekunde hii kati ya nchi 30 za NATO iliyotamka wazi kuwa itapinga Sweden na Finland kuingia NATO na haitabadilisha maamuzi.

Mwisho: Uturuk ndo nchi pekee ya NATO inayo aminika Urusi na ndo maana hao wake na ndugu wa wanajeshi wa Azov wameenda kuomba msaada kwa erdogan ili aongee na putin maana wanajua kwa ulaya ndo Rais mwenye akili smart kama putin ambae anaweza ongea jambo na putin na wakaelewana, nakweli baada ya miamba hiyo kuongea kiume, Urusi ikatoa order ya huruma ya kuwatoa majeruhi wakatibiwe.

Hiyo ndo Bond iliyopo kati ya Russia na Turkey kwahiyo ukiona Putin katulia hivo juu ya Fin na Swed kujiunga NATO basi jua plan yote ya kuzikwamisha ishapangwa na hao miamba wawili na hakuna mtu wa kubadilisha misimamo yao.

UTURUKI SIYO ESTONIA NA URUSI SIYO BOSNIA.
 
Halafu ndo anatokea mla mihogo mikavu na maji ya kandolo anakwambia Russia ina jeshi dhaifu na imeshindwa vita.

Infact, ni mpumbavu pekee ndo anaweza kusema kuwa Russia anapigana Vita na Ukraine, ila kwa sisi wenye akili tunachojua nikuwa Russia yeye anaendesha operation ya kijeshi then Ukraine ndo yupo kwenye full scale war (rejea Marshall law iliyopitishwa na zelensky)
Kwahiyo kitaalamu tunasema ni War(Ukraine) Vs Special millitary operation (Russia).

Kama Urusi ingekuwa kwenye level ya vita isingejihangaisha kuzichukua hizo panya zilizojipeleka shimoni zenyewe kwenda kuzitibu kwa gharama zake na kujaza nafasi kwenye millitary base zake, badala yake angechochea tu mabomu humo shimoni ili hizo panya zote zigeuke kuwa majivu.

Nilichogundua Putin siyo mkorofi au katili kama propaganda za western zinavyomhubiri. putin ni miongoni mwa marais wenye hekima, busara, huruma na smart sana,

Kwanini nasema hivo; siku za nyuma kiongozi wa chenchen alimuomba putin awaruhusu wapiganaji watembeze kichapo heavy, putin hakukubali, huko Maripo Majeral wake walikuwa wamefikia hatua ya kutaka kuanza kumimina mabomu kwenye kiwanda cha chuma ili Azov wote waliojificha huko wageuke kuwa majivu, putin akatoa order ya kusitisha operation hiyo, badala yake akatoa order ya kuwalinda uhai wao ili atakae ona anataka kuendelea kuishi atajisalimisha mwenyewe na atake ona nibora kufa atajiua mwenyewe huko shimoni.
Sasahivi ametoa ruhusa tena ya majeruhi wote kutolewa na kwenda kuwatibu licha ya hao kumuita the butcher, the bastard, the terrorist na n.k. ukirejea hata kauli aliyoitoa leo kuhusu Finland na sweden kujiunga NATO utaona jinsi gani huyu mwamba alivyo smart na si mtu wa kupaniki.

Viva Hon. Putin the greatest leader in the world that shakes more than 40 leaders from 40 powerfull countries.
Una-dictate halafu unakuwa na huruma hii sijui ya wapi!?
 
View attachment 2223301
Polisi Israel wanawapiga waombolezaji wanapemda kumzika Mwandishi wa habari aliyeuliwa Kwa risasi na polisi wa Israel .... Lakini dunia IPO kimya tu.
Allah akbar inanguvu wanajeshi naona wamerudi nyuma kidogo. Jamaa aliyetamka hayo maneno ni shujaa kwenye hilo tukio. Pia aliye inua jeneza lilipotaka kudondoka
 
Back
Top Bottom