Yeye: They have a strong army.
Wewe: Respect bro

Yeye: In Africa, they also talk about this situation? Or did you watch American news?
Wewe: Africa there support you 100% but media not show.

Mimi: WTF

kama kinawezekana kwani wao wana nini! . unafahamu kuna watu wanataka
chambo tu
 
Yeye: They have a strong army.
Wewe: Respect bro

Yeye: In Africa, they also talk about this situation? Or did you watch American news?
Wewe: Africa there support you 100% but media not show.

Mimi: WTF

inamaana hata ukifanyiwa ubaya na mwenzako utakubari kukaa kimya
 
Mpaka sahivi kinachompa Putin wakati mgumu ni propaganda za marekani, kwamba atakapovamia Ukraine basi atakua amewaprove right marekani kitu ambacho Putin ataki sababu hii itawapa credit marekani.

Kinachowapa nguvu wamarekani ni technologia walionayo wanajua kinachoendelea mpaka mwa Russia na Ukraine, katikati ya wik Russia walisema vikosi vinarudi kwenye Kambi zake kumbe ilikua ni kinyume vikosi vilikua vinaongezeka na marekani kama kawaida amejua kupitia satellite na anaendelea na propaganda na hii inaendelea kumpa Putin wakati mgumu.
Mmmh
 
Suala la teknolojia ya silaha .......Basi usije Kuwadharau Russia .......Hawa jamaa ni waya ya umeme dj afro (2015)

Rejea kipindi cha Cuban misile crisis 1962 wakati USSR anapeleka misiles pale Cuba ........USA alikuwa anafuatilia kila kilichoendelea pale ....Cuba kwa kutumia hizo satellites. But alidanganywa

But kilichotokea ni kwamba .......eneo linalotengenezwa hizo Nyuklia lilikuwa limefichwa......hizo satellites pale hazikuona kitu.....

Ghafla wakashangaa Crushave ....ana declare ...Nyuklia misiles
 
Ninachoamini Mimi ni kuwa Propaganda za Marekani hazina tishio kwa Russia. Suala la picha za Satellite kuonyesha hili ni jambo la kawaida kwa hizi nchi kubwa. Kumbuka hizi nchi kubwa including China zina mifumo ya Satellite huko juu.

Sio kwamba Russia ana nguvu kuliko USA , anajua ukubwa wa USA tena + NATO ila ni dhahiri huyu Russia amedhamiria kuingia Vitani linapokuja suala la Ukraine kujiunga na NATO. Kwa Russia ni maslahi ya Usalama zaidi .

Dunia inatakiwa watu kama hawa ambao wakipiga Mkwala hata giant kama Marekani anataharuki. Vinginevyo akibaki Kiranja mmoja tu ni rahisi kuwachapa fimbo akijisikia tu
Aingie tuu aone atakavyofanywa kama Iran kwenye uchumi hadi watamtimua wa Russia wenyewe.
 
Ukraine hawana nyuklia walizikabidhi kwa Russia miaka 25 iliyopita. Ukraine ya Sasa ni dhaifu Sana, Sana kupigana na Russia.
Mwaka 2014 Russia ilitumia siku moja tu kuichukua Crimea.
Mwaka 2008 ilitumia siku tano tu kuizima Georgia na kutwaa majimbo yake ya Abkhazia na....
Pia walitumia siku chache tu kuifanya Ukraine isitawalike coz majimbo matatu yako chini ya waasi eg luhansk nk.
Waukraine wanaogopa kupoteza Kila kitu hata pengine majimbo haya yakstwaliwa na warusi kibabe
 
Ukrain anatandikwa muda sio mrefu jamaa kampania make raia wa kwenye maeneo ya waasi wamesafirishwa kwa muda na kuwekwa kwenye makambi ya wakimbizi huko urusi
 
Ukraine ilikuwa sehemu ya urusi hivyo wanaifahamu moscow kuliko wewe na kitu usichokijua ni kwamba kipindi cha soviet union Ussr ilijitahidi kusambaza silaha kila kona ya himaya yao hivyo ukraine anaifahamu vilivyo urusi kuliko hata NATO.
Hata hivyo vidude alivyo navyo ukraine ni less than 1/10 ya madude yaliyopo urusi maana kuna midude kama vile Bulava, Topol, bila kusahau Satan usikute na Lucifer sasa hayoote yatue Ukraine hivi unadhan hadi kuufyata ufaikiri hawajui kilivhopo Russia?
Iskander je
 
Back
Top Bottom