Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,239
- 5,021
Hata kama sio head of state! Ndo apokelewe na diwani na wajumbe wa serikali ya mtaa?Hapana hii Mimi sikubaliani nayo.
Hakuna usawa.
Tutakua tumemuonea Blinkelin,kwa sababu ushindani sio sawa.
Mmoja ni Head of state na mwingine ni Minister TU.
Ilitakiwa tuone mapokezi ya Lavrov dhidi ya Blinkelin au Biden dhidi ya Putin
Huu Mkwara ningekua mimi ni Comedy ningeshamuamkia Mzee Putini Shikamoo Mzee wangu.Russia wanasema kwamba kinachoendelea hapo Kharkov ni trailer tu na ni maandalizi ya mapiga ya summer (summer offensive).
View attachment 2990534
Kama watu wengine wanavyoshangaa hapa Tanzania tunaibiwa na genge flani linajulikana linaiba hadharani kabisa linatuumiza tunakosa barabara wala maji na huduma mbovu lakini ndio hivyo tu.Huh kuna clip inatembea, huyu huyu Blinken anaeshawishi watu waende frontline waka kaangwe vizuri huku yeye akiwa jukwaani hapo Kiev akicheza na Gitaa.
View attachment 2990616
F really kweli they care, katika Nchi wanayo tuaminisha kua ipo Vitani dhidi ya "Enemy" mwenye nguvu zaidi yake hivyo misaada ya kina inahitajika. Anafika eneo la mapambano anapanda jukwaani kucheza na Gitaa, kweli?
Kwa raia wa Ukraine wenye akili timam hili jambo wanalichukuliaje? Of course kuna pink ponies wanaona kawaida and enjoyable. Ila kwa Baba, Mama, au mke ambae mtu wake kachukuliwa kwa lazima then kwenda kufia frontlines kwa ajili ya hawa viumbe uchungu alio nao haupimiki.
Kuna wakati hua najarib kuvaa viatu vyao, inaniwazisha sana. Aiseee ni kheri kua na ulemavu wa mwili ila sio ulemavu wa akili. Kwa binadam ambae ana matatizo akilini mwake en yet hajioni kama ana tatizo yule mbuzi zizini ana ubora kuliko yeye.
View attachment 2990584
With the help of map just for illustration, US to Ukraine ni thousands miles (Yellow to Green), Ila watu wanafunga safari kwenda kuhakikisha mtu na jirani yake hawapatani abadani.
Ukrainians sijui nani kawaloga, na how comes serikali inaeza control population of millions astray, mmh? Ina maana hawawezi kupinga endapo wanapotezwa? Kwanini they are heading into total destruction, total collapse calmly utafikiri mikondoo. (Hapa huenda hata kondoo wakawa na nafuu).
Pia kama kweli ni Serikali ya raia wa Ukraine, imewekwa na raia wa Ukraine kwa ajili ya raia wa Ukraine kwanini ifanye kazi kwa maslah ya US nje ya interests za Ukrainians wenyewe?
Tukiangalia wanaokimbia na kujitoa kafara kuvuka mto kuingia Romania, wengine kunusurika wengine kufia majini wakijarib kutoroka kukamatwa kupelekwa front, hii hali inaongea mengi sana kuhusu Raia wa kawaida hapo Ukraine, Wanateseka sio kidogo.
When the rich wage WAR, its the POOR who DIES, it's the poor who SUFFERS. West wana print fedha kupeleka Ukraine, ila raia wa kawaida ndio wanaonja joto la jiwe huko fronts.
Angekua ni raia Urusi au mtu mwenye asili ya Urusi,ungevisikia vyombo vya habari vya Magharibi na mashabiki wao wanakuambia,"Putin mtu mbaya sana,Putin ni muuaji mkubwa."Putin ndio kamuua.Jamaa sidhani atapona nina wasiwasi sana
Ha ha haa.Hata kama sio head of state! Ndo apokelewe na diwani na wajumbe wa serikali ya mtaa?