SmartSelect_20221028-070626_Chrome.jpg
 
Makombora 4500 yakitupwa bongo kunabaki magofu nchi nzima

Zelensky: Russia has launched over 4,500 missile strikes on Ukraine since February.
President Volodymyr Zelensky said in his evening address on Oct. 27 that Russian forces launched over 30 drones in the last two days and the Ukrainian military downed 23 of them. Ukrainian forces also downed Russia's Kh-59 guided air missile, two Ka-52 attack helicopters and a Su-25 attack aircraft over the same reporting period
 
Utawala wa Magharibi unapaswa kubadilishwa na makubaliano halisi na heshima ya wote, kiongozi wa Urusi alisema.

Ulimwengu unaingia katika muongo mmoja wa machafuko wakati harakati za kuwa na utaratibu wa haki zaidi duniani zikizozana na utawala holela wa nchi za Magharibi, Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema Alhamisi, akihutubia mkutano wa kila mwaka wa Klabu ya Majadiliano ya Valdai.

Hotuba ya Putin ilianzia kwa bayoanuwai hadi "kufuta utamaduni," asili ya kile ambacho nchi za Magharibi inapaswa kutoa na majibu ya Urusi, ikifuatiwa na masaa ya kujibu maswali ya watazamaji. Hapa kuna mambo sita muhimu kutoka kwa hotuba yake ya ufunguzi.

Soma:
1. The West stokes conflict to preserve hegemony

From inciting conflict in Ukraine and provocations around Taiwan to destabilizing the world food and energy markets, the US and its allies have been escalating tensions around the globe in recent years and especially in recent months, Putin said.

“Ruling the world is what the so-called West has staked in this game, which is certainly dangerous, bloody and – I would say – dirty. It denies the sovereignty of countries and peoples, their identity and uniqueness, and disregards any interests of other states,” the Russian president explained. In their so-called “rules-based world order,” only those making the “rules” have any agency, while everyone else must simply obey.


However, the West has “no constructive ideas and positive development, they simply have nothing to offer the world except the preservation of their dominance.”

2. Rules for thee but not for me

The West insists its culture and worldview should be universal, Putin said. While not saying it outright, they behave as if these values must be unconditionally accepted by everyone else.


Yet when some other countries, notably China, began benefiting from globalization, the West “immediately changed or completely canceled” many of the rules it long insisted were set in stone and sacred, Putin said, with free trade, economic openness, fair competition and even property rights “suddenly forgotten at once, completely.”


“As soon as something becomes profitable for themselves, they change the rules immediately, on the go, in the course of the game.”


3. “Cancel culture” and canceling culture

Believing themselves infallible, the rulers of the West desire to destroy – or “cancel”– those they dislike. Where Nazis burned books, the Western “guardians of liberalism and progress” now ban Dostoevsky and Tchaikovsky, Putin said. Liberal democracy has transformed into something unrecognizable, declaring any alternative viewpoint as propaganda or a threat, he added. The so-called “cancel culture” destroys anything that is alive and creative, preventing any freedom of thought in culture, economics or politics alike.
“History, of course, will put everything in its place,” Putin said, adding that the the self-conceit of those who seek to cancel them is off the charts, “but no one will even remember their names in a few years, while Dostoevsky and Tchaikovsky and Pushkin will endure.”

4. Russia does not seek domination

Russia is an “independent, original civilization” and “has never considered itself an enemy of the West,” Putin said. Since antiquity, it has had ties with the West of traditional Christian and Muslim values, freedom, patriotism, and a rich culture. There is another West, however – “an aggressive, cosmopolitan, neocolonialist, acting as a tool of neoliberal elites,” Putin said, “whose dictates Russia will never accept.”

Even so, Russia is not throwing a gauntlet to the elites of that West, but “simply defends its right to exist and develop freely. At the same time, we ourselves are not seeking to become some kind of new hegemon,” Putin said.

5. Western hegemony is ending

“We are standing at a historic milestone, ahead of what is probably the most dangerous, unpredictable and at the same time important decade since the end of World War II. The West is not able to single-handedly manage humanity, but is desperately trying to do it, and most of the peoples of the world no longer want to put up with it,” Putin said.


Conflicts arising from this tumult are threatening the entire humanity, and constructively resolving them is the principal challenge ahead, according to the Russian leader.


No one can sit out the coming storm, which has acquired a global character, Putin said. Humanity has two choices, “either to continue to accumulate a burden of problems that will inevitably crush us all, or to try together to find solutions, albeit imperfect, but working, capable of making our world safer and more stable.”

6.What multipolar world should look like

In a truly democratic multipolar world, any society, culture and civilization should have the right to choose its own path and socio-political system. If the US and Europe have that right, so should everyone else. Russia also has it, “and no one will ever be able to dictate to our people what kind of society we should build and on what principles.”
The biggest threat to the political, economic, and ideological monopoly of the West is that alternative social models may arise in the world – and would be more effective and more attractive.

“Above all, we believe that the new world order should be based on law and justice, be free, authentic and fair,” the Russian president said.

“The future world order is being formed before our eyes. And in this world order, we must listen to everyone, take into account every point of view, every nation, society, culture, every system of worldviews, ideas and religious beliefs, without imposing a single truth on anyone, and only on this basis, understanding our responsibility for the fate of our peoples and the planet, to build a symphony of human civilization.”

Tafsirini kwenye kiswahili - kuna kitu watu watajifunza - loh, Putin kichwa sana - a man who sees tomorrow!!! Leo ndio nimejifunza kwamba kumbe chuki zote za viongozi wa magharibi zinatokana na yeye kuwazidi akili,maarifa na kikubwa zaidi busara. Putin ananikumbusha sana busara za the late John F. Kennedy.
 
hapo anaetoa silaha za maana kwa ukraine ni US na UK na German kidog, hao wengine wote ni Nato jina tu hamna kitu, sasa sijui kanchi kama Latvia na Estonia sijui unaweza kuzihesabu kweli kwamba zinamchangia mrusi? hao hata tukiwaleta huku mkuranga si tunawala vichwa tu?
27278.png
27331.jpeg
#Belgium will provide military assistance to Ukraine in the amount of 12 million euros within a new aid package.

This was reported by the Minister of Defense of the country Ludivine Dedonder to L’Echo magazine.

In total, Belgium has already transferred 45 million euros of support to Ukraine.

#
Screenshot_2022-10-28-07-15-03-18_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Huyu Mzee kama umri wake wa kufa umefika atuache na dunia yetu - tunaona anahamanika tu anatafuta kwa kufa naye.

Hongera sana Rais wa Korea Kusini kwa jibu zuri mno... Putin kashadata anavamia kila mtu.

“We’ve provided humanitarian and peaceful assistance to Ukraine in solidarity with the international community but never lethal weapons or any such things,” Yoon told reporters on Friday, according to South Korea’s Yonhap News Agency.

“But in any case, it’s a matter of our sovereignty, and I’d like you to know that we are trying to maintain peaceful and good relations with all countries around the world, including Russia,” he said.
 
Kwa nini unafikiri na umekazana sana kuwaaminisha watu Elon Musk ni authority au mtaalamu sana kwenye masuala ya silaha na ulinzi??

Hembu tupe sababu mbili tu kwa nini Elon Musk azingatiwe anayosema na sio Biden mwenye nuclear football au Lloyd Austin, Jenerali wa nyota nne aliyefanya kazi jeshini kwa miaka 40?
Mambo mengine ni suala la kutumia logic tu, sio lazima awe amesoma taaluma ya saikology kuliko father wa somo la saikology Dr.Sigmund Freud.

Kama US ndio ingekuwa na uwezo mkubwa wa masuala ya thermonuclear na deliverys systems hatarishi-kwa nini Elon Musk alizungumzii kuhusu uwezo wa Urusi kwanza halafu akamalizia onyo lake kwa Dunia kwa kuongezea neno "Vice Versa" ni wazi alilisema hilo just to please American Military, lakini deep down alijuwa message imekuwa sent and delivered, mntasema lolote ili kufurahisha roho zenu lakini ukweli ndio huo Elon Musk alikuwa anaionya Merikani indirectly pamoja na Mataifa ya Ulaya specifically Uingereza kuhusu hatari za kutaka kuichezea Urusi -.my opinion.
 
Kwa nini unafikiri na umekazana sana kuwaaminisha watu Elon Musk ni authority au mtaalamu sana kwenye masuala ya silaha na ulinzi??

Hembu tupe sababu mbili tu kwa nini Elon Musk azingatiwe anayosema na sio Biden mwenye nuclear football au Lloyd Austin, Jenerali wa nyota nne aliyefanya kazi jeshini kwa miaka 40?

I long for days when naive people are taken seriously!!
 
Wewe una matatizo makubwa ya akili , kucha kutwa uko kulalamikia watu wasioupa umuhimu uchambuzi wako uchwara unaofanya hapa, umejaza nyuzi za anti West halafu unazungumzia independent analysis.
Tofauti yako wewe na Mathanzua ni kwamba yeye ana copy na ku paste tu kwa Kingereza takataka zote za conspiracy kutoka mtandaoni, wewe unajitahidi kuzielezea kwa Kiswahili na kuzichambua.
Zungumza mambo ya kuelimisha watu yaani an independent analysis kuhusu mwenendo mzima wa vita unavyo kuwa conducted pamoja na maoni yako baada ya kupitia sources ambazo ni very
reliable na sio tabloid paper sources hicho ndicho kinacho takikana ili watu wapewe habari/taarifa za kuaminika, kwa bahati mbaya naona mwenzetu badala yake unakimbilia ku-manufacture "tirades" tuuu zisizo kuwa na mantiki hata kidogo - mara ooh Warusi wa Buza,mara ooh Warusi wa Magomeni - mambo ya kitoto toto tu na ku-copy copy na ku-paste kutoka kwenye highly questionable sources, mnashindwa hata kutofautisha between CGI generated video clips and digitally manipulated photos, nyinyi mnadhani vyote hivyo ni real stuff, halafu mnakwenda mbali zaidi mnazijengea hoja, just emulating Zelensky Military propaganda to the letter!!

To drive point home, kuna sehemu nilicommet kwamba si rahisi jeshi la Zelensky likazingira jeshi la Urusi wakati Urusi ina miliki formidable Air force, badala ya kuni hoji na maanisha nini naona mwenzetu badala yake unasema haiwezekani, mbona Urusi imeshindwa kumiliki anga la Ukraine - unacho sahau ni kwamba Urusi amekwisha haribu takribani asili mia 85% za Airforce ya Ukraine, hivi sasa Russia ina uwezo wa kufanya lolote kwenye anga la Ukraine by flying their fighter planes and bombers at higher altitude ili kukwepa shoulder fired MANPAD,kitu kinginev Russia haitumii airforce sana nchini Ukraine anaziweka/park kwenye hangar ili zije kutumika kama NATO/USA watahamua ku-attack Russia whether by accident au delibarately - ndio maana Russia haitumii sana ndege zake kwenye vita ya Ukraine badala yake anatumia:
1) Missiles.
2)Artillery.
3) MRLS.
4) DronesKamikaze/Kalashnikov.
5) MANPAD.
6) Konnet ATGM.

Hizo ndio zilikuwa sababu zangu za kusema jeshi la Russia aliwezi kuzingirwa kirahisi wakati wana helicopter gunships, Sukhoi 24 tank buster na fighter bombers and jetfighters chungu mzima that is what I meant, lakini nyinyi badala ya kuleta maoni mbadala mna target members fulani kwenye forums hii hasa wenye maoni mbadala ambao si bendera fuata upepo, mna waporomoshea maneno ya shombo, wakati mwingine mnawatukana kabisa, mnafikia mpaka hatua ya ku-question akili za watu kama ziko sawa, just to get even bila sababu zozote za msingi zaidi ya EGO zenu za ajabu - sasa swali ni: kawapa nani mamlaka ya ku-run JM as if nyinyi ni kama ma-share holders-yaani forums nzima imekuwa turned up side down and inside out!! Mvuto wa zamani wa JF umeanza ku-decay exponentially kabisa kutokana na unbecoming behaviours zenu.
 
Mzee kaanza kulainika...

Russia did not consider the West to be an enemy of Russia despite the current phase of confrontation, he added. Moscow “had one message” for the “leading countries of the West and NATO: let’s stop being enemies, let’s live together”.
 
"Every nation should be free to take independent decision" - Vladimir Putin 27/10/2022

Ukraine did so,and we see all the lying of Russia.
Putin ni mtu asiyeaminika kabisa katika kile anachosema, ni vigumu kufanya kazi au kuzingatiwa mtu wa aina yake.
Screenshot_20221026-185947_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom