James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,112
- 13,341
Anzia kusoma hapa by the end of the year..Mkuu, warusi wa Tanzania watakubishia, kwamba Ujerumani na Ulaya hawawezi kuishi bila gasi ya Urusi. kwamba Mrusi anasubiri wakati wa baridi kali ili wakate mabomba ya gesi watu wa magharibi wapukutike kwa baridi - haya ni mawazo mgando kabisa tena ya karne ya 14.