Allyjumamanne 323
New Member
- Jan 13, 2017
- 4
- 2
HaaaaaHiki kinaendelea kupata wateja wengi sana
HaaaaaHiki kinaendelea kupata wateja wengi sana
Umesahau na uwanja wa ndege Chatokiwanda cha pamba - chato hiki kimefufuliwa.
kiwanda cha kusindika nyama - chato japo bado kipo kwenye ujenzi wa awali.
ndo nilivyovishuhudia.
Swala la kilimo ni gumu kidogo maana kwa kilimo kilichopo sasa ni cha mazoeaSiyo mbaya kama wanafufua ila je wakulima wanawezeshwa?
Basi simple viorodheshwe vilivyo kwenye ujenz mwaka huu 2017 na uliopita 2016Hivi ninyi mnategemea viwanda kufunguliwa kwa mwaka mmoja tu?? Yaani mtu afanye utafiti, upembuzi yakinifu, ujenzi wa godown, mitambo, boiler, trial...... yoote hayo ndani ya mwaka mmoja?? achene maneno yenu, labda kama ni kiwanda cha laki moja alichosema mwijage jana.
Magufuli ataendelea kufungua viwanda wilivyoanza kujengwa awamu ya nne. Tusubiri kuona viwanda vilivyoanza kujengwa awamu ya tano kuanzia mwaka 2018..
Kuna viwanda vya kubet vimeajiri vijana wengi sana siku hizi.. vijana wanasuka mikeka tu
We MTU shida kweli kweli. Eti viwand vya Ku bet.
Hakina jina?Kijijini kwetu kuna kiwanda hewa cha kutengeneza bidhaa zisizojulikana!
Jina hewaHakina jina?