Special thread: Viwanda vilivyojengwa kwenye Awamu ya Serikali ya Viwanda

Mkuu Jambo Food Products ni kiwanda cha Muda mrefu sana na sidhani kama kilistahili kuzinduliwa siku ile.. kwa sasa Jambo kateka soko kanda ya ziwa kwa vinywaji.
Fresho Investment ile ni Ginnery ya muda pia.. sio kiwanda cha mwaka huu.
Na Shinyanga ni sehemu yenye viwanda vingi sana ila havipewi promo
 
Tatizo wanamuona jamaa yao ni mungu na wanavyodanganya wananchi sijui maana yake nini
 
viwanda vya kufyatua watoto, viwanda vya kuhifadhia mahindi ya njaa, viwanda vya kutengeneza matamko
hahaaa
 
Hivyo viwanda vipo kitambo tu toka awamu iliyopita labda kama vimefavyiwa ukarabati tu.

Havijafanyiwa ukarabati ila naona salum mbuzi ambaye ni mbunge wa ccm pamoja na serikali yao wameamua hivyo ili kumpa promo mkuu wao
 
Aaah Viwanda hivyo vyote vilianza kufanya kazi mwaka 2014 ila vilikua bado havijawekewa ufunguzi na viongozi wa kisiasa kwa taarifa yako
Hivi ninyi mnategemea viwanda kufunguliwa kwa mwaka mmoja tu?? Yaani mtu afanye utafiti, upembuzi yakinifu, ujenzi wa godown, mitambo, boiler, trial...... yoote hayo ndani ya mwaka mmoja?? achene maneno yenu, labda kama ni kiwanda cha laki moja alichosema mwijage jana.

Magufuli ataendelea kufungua viwanda wilivyoanza kujengwa awamu ya nne. Tusubiri kuona viwanda vilivyoanza kujengwa awamu ya tano kuanzia mwaka 2018..
 
Hebu rejea like jibu alikopewa rwakatare kuwa wajenge kiwanda cha bati bukoba wajipunguzie bei hata kwa buku. Hivi ao watu wangeendelea kulala kwenye magofu mpaka icho kiwanda kianze uzalishaji?

Haha unakula matapishi ya mkulu
 
Hivi ninyi mnategemea viwanda kufunguliwa kwa mwaka mmoja tu?? Yaani mtu afanye utafiti, upembuzi yakinifu, ujenzi wa godown, mitambo, boiler, trial...... yoote hayo ndani ya mwaka mmoja?? achene maneno yenu, labda kama ni kiwanda cha laki moja alichosema mwijage jana.

Magufuli ataendelea kufungua viwanda wilivyoanza kujengwa awamu ya nne. Tusubiri kuona viwanda vilivyoanza kujengwa awamu ya tano kuanzia mwaka 2018..
Hivi umesoma mada na komenti yangu mkuu...nadhani hujafanya hivyo
 
Kwa hiyo kila kiongozi fulani anapotembelea kiwanda fulani anakuwa amekizindua, hata kama kilikuwapo miaka kadhaa iliyopita!
 
Hii ni special thread ya kuorodhesha viwanda vyote vilivyojengwa katikati awamu ya "Serikali ya viwanda" a.k.a "Hapa kazi tu".

Kwa anayefahamu kiwanda chochote kolichojengwa au kufufuliwa awamu hii atufahamishe kupitia uzi huu.
Mleta mada huu uzi wako uhifadhi mpaka 2018, maana mtu hawezi kujenga kiwanda cha maana kikafanya kazi ndani ya mwaka mmoja tu. sasa hivi vinafunguliwa viwanda vilivyojengwa awamu ya nne.
 
Hii ni special thread ya kuorodhesha viwanda vyote vilivyojengwa katikati awamu ya "Serikali ya viwanda" a.k.a "Hapa kazi tu".

Kwa anayefahamu kiwanda chochote kolichojengwa au kufufuliwa awamu hii atufahamishe kupitia uzi huu.
Umetoa hoja nzuri ambayo ni ya kitafiti. Ii kufanya ulinganifu wa matokeo ya utafiti huu unatakiwa kuwa na aina mbili za kupata takwimu. 1. Takwimu kutoka wanaJF na 2. Takwimu kutoka wizara ya viwanda ambazo zitaainisha aina ya kiwanda, kilipo na kimeajiri Watanzania wangapi. Linganisha matokeo ya 1 na 2 na toa mrejesho kwa wanaJF.
 
Kiwanda cha matetemeko, ukimwi, katerero, mto ngono huko kgr kilichozinduliwa na pjm!
 
Back
Top Bottom