Special thread: Viwanda vilivyojengwa kwenye Awamu ya Serikali ya Viwanda

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Hii ni special thread ya kuorodhesha viwanda vyote vilivyojengwa katika awamu ya "Serikali ya viwanda" a.k.a "Hapa kazi tu".

Kwa anayefahamu kiwanda chochote kolichojengwa au kufufuliwa awamu hii atufahamishe kupitia uzi huu.

Nitakuwa naviorodhesha hapa.
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.

.
 
wiki iliyopita mkoani Shinyanga Rais Magufuli alizingua viwanda viwili
1.kiwanda cha vifungashio bidhaa ikiwemo mifuko ya sandarusi cha Fresho Investment Company Limited
2.kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda,juisi na maji.

N.b ila sikuelewa ni kwann habari ile haikutrend hapa jamiiforums badala yake watu walikuwa bize kudiscuss vitu vya ajabu ajabu.
 
Attachments

  • fresho 2.JPG
    fresho 2.JPG
    27 KB · Views: 109
  • fresho 3.JPG
    fresho 3.JPG
    37.5 KB · Views: 91
  • fresho 5.JPG
    fresho 5.JPG
    30 KB · Views: 105
  • fresho 6.JPG
    fresho 6.JPG
    43.5 KB · Views: 102
  • fresho4.JPG
    fresho4.JPG
    42.3 KB · Views: 77
wiki iliyopita mkoani Shinyanga Rais Magufuli alizingua viwanda viwili
1.kiwanda cha vifungashio bidhaa ikiwemo mifuko ya sandarusi cha Fresho Investment Company Limited
2.kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda,juisi na maji.

N.b ila sikuelewa ni kwann habari ile haikutrend hapa jamiiforums badala yake watu walikuwa bize kudiscuss vitu vya ajabu ajabu.
Wengine hatukuona ni vya maana kwa sababu tulikuwa na bado tunasumbuliwa na janga la njaa, (ambavyo kwako ni vya ajabu ajabu)
 
Hii ni special thread ya kuorodhesha viwanda vyote vilivyojengwa katikati awamu ya "serikal ya viwanda" a.k.a "hapa kazi tu".

Kwa anayefahamu kiwanda chochote kolichojengwa au kufufuliwa awamu hii atufahamishe kupitia uzi huu.

Kuna kiwandak cha tiles kama unaelekea mkuranga,na kiwanda cha kutengeneza.mataruma . kibaha,nadhani cha msingi tembelea mbagala kwenda mbele na kibaha pia maeneo ya kisarawe ndo utafunguka .
 
wiki iliyopita mkoani Shinyanga Rais Magufuli alizingua viwanda viwili
1.kiwanda cha vifungashio bidhaa ikiwemo mifuko ya sandarusi cha Fresho Investment Company Limited
2.kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda,juisi na maji.

N.b ila sikuelewa ni kwann habari ile haikutrend hapa jamiiforums badala yake watu walikuwa bize kudiscuss vitu vya ajabu ajabu.
Poleni sana,siasa zikiwekwa mbele ni shida. Kiwanda cha fresho kiko zaidi ya miaka 4 kikiwa kinafanya kazi na pia anatengeneza magunia kwa ajili ya kuhifadhia pamba. Kwa uthibitisho fuatilia fresho imeanza mwaka gani. Na jambo kimeanza miaka miwili iliyopita ambapo zamani kilikuwa kinahusika na ununuzi/uuzaji wa pamba. Hivyo kusema amezindua labda kwa mtu ambaye ni mshabiki wa chama anaweza kucheka ila kwa watu wa shinyanga,kahama,bariadi,maswa,mwanza n.k wanayajua haya
 
Picha: Rais Dkt Magufuli azindua viwanda viwili mkoani Shinyanga - SWAHILI TIMES
 
Tuache kudanganyana. Hivyo viwanda vipo vinafanya kazi kabla hajaingia madaraka

About - Jambo Group
Jambo Group

What we do at Jambogroup of companies.

Company Profile. Founded in 2011 Jambo Food Product is part of Jambo Group of Companies Ltd. and one of the largest manufacturer of carbonated soft drinks, fresh juices, and processing and bottling of water within East Africa. The company is based in Shinyanga, Tanzania.
Jambo Food Products has world class facility and high-tech German machinery to manufacture superior quality carbonated soft drinks, fresh juice and purified drinking water which are branded as “JAMBO”. The Jambo products are available throughout Tanzania and soon throughout East and central Africa. The soft drink plant and water plant has the capacity of over 72,000 bottles per hour.
Company vision. “life in every drop” is to have clean & safe drinking water to make our nation healthier, and by committing our vision through satisfying peoples needs for truly pure healthy products anywhere any time.
Mission. Our mission is to give every Tanzanian a choice to enjoy world class quality products at affordable mwanachi prices and to be the first choice among other food products companies in east Africa by partnering our customers, employees, suppliers and community.
factory_slider_c
about
img-20160912-wa0012
“At Jambo Group Of Companies Ltd, we stand by the company’s product, The Company’s standards, the company’s services, and the company’s word, for full contentment from our customers. ”

ABOUT US

We provide expert and products industrial solutions to businesses. With over 18 years of experience we’ll ensure that you’re always getting the best results from an award-winning Tanzania firm focused on quality.

Fresho

Fresho Ginnery

Fresho Packaging Shinyanga

Fresho Ginnery Shinyanga

The Fresho ginnery is situated in Shinyanga region along the Shinyanga-Mwanza highway, for more than ten years the ginnery has been in operation of cotton processing from raw cotton into lint. The company buys cotton from various cotton farmers in the region, transports into the ginnery and processes it into lint which is exported overseas. Our Ginneries are environmental friendly and conforms to the standards set. We use the SOGIN machines for our lint processing, our machinery is well maintained to ensure high quality lint production and safety during operations. Fresho Ginnery is committed to provide high quality lint to our end product clients that in turn ensures complete client satisfaction, an invaluable reward for a business entity.
 
wiki iliyopita mkoani Shinyanga Rais Magufuli alizingua viwanda viwili
1.kiwanda cha vifungashio bidhaa ikiwemo mifuko ya sandarusi cha Fresho Investment Company Limited
2.kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda,juisi na maji.

N.b ila sikuelewa ni kwann habari ile haikutrend hapa jamiiforums badala yake watu walikuwa bize kudiscuss vitu vya ajabu ajabu.
Aaah Viwanda hivyo vyote vilianza kufanya kazi mwaka 2014 ila vilikua bado havijawekewa ufunguzi na viongozi wa kisiasa kwa taarifa yako
 
Hii ni special thread ya kuorodhesha viwanda vyote vilivyojengwa katikati awamu ya "serikal ya viwanda" a.k.a "hapa kazi tu".

Kwa anayefahamu kiwanda chochote kolichojengwa au kufufuliwa awamu hii atufahamishe kupitia uzi huu.
Wanaweza waje na vilivyokuwa vimeanda enzi za nyuma na kufunguliwa sasa .
 
wiki iliyopita mkoani Shinyanga Rais Magufuli alizingua viwanda viwili
1.kiwanda cha vifungashio bidhaa ikiwemo mifuko ya sandarusi cha Fresho Investment Company Limited
2.kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda,juisi na maji.

N.b ila sikuelewa ni kwann habari ile haikutrend hapa jamiiforums badala yake watu walikuwa bize kudiscuss vitu vya ajabu ajabu.

Hivyo viwanda vipo kitambo tu toka awamu iliyopita labda kama vimefavyiwa ukarabati tu.
 
Back
Top Bottom