Mafanikio ya Rais Samia katika kujenga Tanzania ya Viwanda yaanza kuzaa matunda

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,834
Awamu ya 6 Chini ya Rais Mwanamageuzi Dr.Samia imeendelea kupata mafanikio makubwa kwenye sekta ya Viwanda Kwa vitendo.

Ndani ya miaka 3 hii Rais Samia amewezesha ujenzi wa viwanda Vingi sana vikubwa,vya kati na vidogo.Na vinavyozungumzwa hapa ni viwanda sio vyerehani Wala katakana za kuchomelea mageti kama Ile awamu nyingine.

Kati ya viwanda vingi **** viwanda vikubwa 4 vya Kimkakati kama Nchi ambavyo vitaleta mageuzi makubwa sana ya Kiuchumi hapa Tanzania ambavyo ni ;

1.Elsewedy Electric ambacho Kiko Kigamboni na kinazalisha nyaya za umeme,vifaa vya umeme kama transfoma nk(Vifaa vyote basic vya umeme vinatoka hapa na Tanlec Arusha)

2.Kiwanda Mbolea Intracom Dodoma ambacho kimekuwa.mkombozi Kwa.Wakulima.na.sasa kinaenda kuisaidia Serikali kuacha kabisa Kuagiza mbolea Nje ya Nchi

3.Kiwanda Cha Supphire Float Glass Cha Mkuranga Pwani.Hiki ndio kiwanda pekee Cha bidhaa za Vioo Afrika Mashariki na Kati na kitazalisha pesa nyingi.

View: https://twitter.com/kitilam/status/1701614734112641111?t=tK99H-UfunInRWmIWj1D3A&s=19

4.Kongani ya Viwanda Kwala Pwani inayojengwa na SinoTan itakuwa na zaidi ya viwanda 200

View: https://twitter.com/Ofisiya_Rais_MU/status/1689739280791343109?t=MWrxK00gFf-IHVPmirkvAw&s=19

My Take
Kwa Kasi hii ni nani wa kumlinganisha na Samia huko ccm Kwa waliopp au ambao wamepita? Bila shaka Kuna watu wanaona aibu na wivu Kwa haya mafanikio.

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1701615931880079626?t=cZ43GmrIv7w_U44j-A4TaA&s=19
 
View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1704223980658254151?t=s0b5viPTLy6iWzSKIuW8UQ&s=19
 
Back
Top Bottom