Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

byebye upinzani.

hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.

Unfortunately kwa yeyote anaependa au kutegemea upinzani ufe kitakachotokea ni kinyume chake.
To paraphrase Nelson Mandela's words to the apartheid regime: If CHADEMA will disappear you will regret whoever takes their place and wish you kept them.
 
Kamanda kwa hiyo unakiri kabisa kuwa tanzania kuna demokrasia ya kupigiwa mfano?
Usiniwekee maneno mdomoni!Tumeanza na sheria ya mtandao kwa hati dharura,ikaja sheria ya takwimu,tutafika tu kwenye sheria ya vibonzo!
 
byebye upinzani.

hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
Comments from Lumumba FC zinadhihirisha kwamba mostly ni std seven.....
 
Comments from Lumumba FC zinadhihirisha kwamba mostly ni std seven.....
mkuu unatafsiri picha au comments zetu. nikisema ulikimbia umande wa chekechea ntakuwa nimekuonea mkuu kamanda wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…