matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,519
hayo anajua Mungu anayeijua kesho yako na ya Tanzania.Kumbe Tanzania bila upinzani inawezekana?
Tumeambiwa kwa wenye uelewa tu. Wewe huna uelewa! Huyu ndio joka la mdimu eboh!ogopa yanga anang'ata
Naam!Maana yake CCM ni Shetani
Ccm imegeuka joka LA mdimu...likimaliza kuwakula wote linajikula lenyewe halafu linakufwa[emoji36]Hii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Huyo ni chakubanga kabisa wenyewe wanamsfia kununua wapinzani uchwara kumbe anajaza sumu kwenye chamaMazee au ina maana nyingine hii katuni? NielewesheniView attachment 890452
Kipanya angekua Rwanda sasa hivi angekua mahakamani, maana huko Rwanda hauruhusiwi hata kuchora katuni aisee
Tutaipaste sheria hiyo toka kwa role model wetu kagameKipanya angekua Rwanda sasa hivi angekua mahakamani, maana huko Rwanda hauruhusiwi hata kuchora katuni aisee
Kibonzo hicho kwa Rwanda ni miaka 7,bado kidogo tutacopy hizo sheria kutoka kwa role model wetu "kagame"!
Tutaipaste sheria hiyo toka kwa role model wetu kagame
Wa kufa na kuzikanaNdugu wetu wa damu
Alaaaa kumbeCcm imegeuka joka LA mdimu...likimaliza kuwakula wote linajikula lenyewe halafu linakufwa[emoji36]
Utakuwa umezaliwa 92"Kumbe Tanzania bila upinzani inawezekana?