Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,643
- 21,266
Majitu mazima na akii zao halafu yanasema eti ni wanaume!Na kupokea Dreamliner serikali nzima inashinda Airport
😂😂😂Majitu mazima na akii zao halafu yanasema eti ni wanaume!
Aisee ni kweliKwa tamaa atachukua zote...
Ninahisi ni fasihi fikirishiSiamini
Hii inanipasua kichwaNinahisi ni fasihi fikirishi
Nimetafakari kura kwenye sandukuHii inanipasua kichwa