Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kijana wa kileo yuko bize na smartphone mzee anawaza lile begi lake la siri alilompa amtunzie lipo salama ila akigeuka hapo ataona begi la siri kijana hana habari yupo bize anawasapika kweli huyu kijana kamtia mzee matatizoni sana ila mzee alionywa mapema akasubaza shingo kula bata kijana ndio njia ya kudeal na wazee wasiojitambua kama hawa.
 
Baba akimgusa tu, dogo anafungua begi, yaani mzee anatafakari amfanye Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…