Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Apo ni kutumia rasilimali zote,Polisi,Nec na serikali kumpitisha mgombea wa CCM.
Wakati mgombea wa CHADEMA akidhoofishwa kwa vipigo,hujuma na kunyimwa haki ya uchaguzi.

Mwisho wa picha watu wanajitangazia ushindi wa 100%...wakati walipigana na kinyago ulingoni

Shubaaaaamit!!!!
 
Well clarified [emoji122]
 
.
tapatalk_1534360712488.gif
 
Back
Top Bottom