Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hicho chombo kitapigwa pini siku hiyo hiyo
 
Aisee waache wasiojulikana wapige kazi kwa bidii, yani bajeti yao ni mara mbili ya bajeti ya wizara ya maji.
 
Ni kweli tutsahau, kwa mfano, wakati akiwa Waziri wa "barabara" CAG wa kipindi kile aliripoti kupotea kwa Bilioni 227 ambazo ilikua ni upanuzi wa Barabara za Mkoa wa Tanga..... Hapo ni Waziri.
 
Hilo jarida/gazeti litafungwa hata kabla ya toleo la kwanza halijawafikia wasomaji wengi
 
Hilo jibu la CAG wa CCM bwana polepole linafuraisha sana,eti ilikuwa haijaiva!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…