MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Kipaji chake ni Mungu kampa hata ukisoma huwez kujua sawasawa.
hii hatutasamehe wala kusahau.Haiwezekani tukasahau maana 1.5 trill ni kubwa sanaView attachment 749988
Vumilia mkubwaTumekwisha
Mkuu hilo fupa ni vigumu kuondoka na mtu maana lipo kwenye miibahii hatutasamehe wala kusahau.
lazima fupa hili liende na mtu kama Richmond ilivyoenda na mtu!!
Haiwezekani tukasahau maana 1.5 trill ni kubwa sanaView attachment 749988
In short ni watu wajinga kupata kutokea katika uso wa ulimwenguWatanzania wengi tupo hivyo ni watu kuridhika mapema sana... Na kupelekea kusahau haraka sana
dawa ya kuondoa miiba ni kuichoma mkuu!Mkuu hilo fupa ni vigumu kuondoka na mtu maana lipo kwenye miiba
Mkuu wizi kama huu wahenga wanauitaga FUNGA MWAKALabda waliojitoa ufahamu AKA MAZWAZWA ndiyo watasahau huu wizi mkubwa katika historia ya nchi yetu kuliko wizi wowote mwingine wa kubwa la majizi na genge la majizi wenzie.
Vipi nawe upo humo?In short ni watu wajinga kupata kutokea katika uso wa ulimwengu
Wazo zuriHatutasahau
Mkuu wizi kama huu wahenga wanauitaga FUNGA MWAKA
ila kipanya simuelew aisee.....kwenye radio pale asubuh ni kama yupo pamoja nao...lkn kweny katuni huku anakua tofauti fln hv......sasa sjui ni kwa nn