Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,130
Na hawamuogopi piaBulldozer hasikilizwi tena !!
Na huyo mama kabeba ndoo vpIko hv. Magufuli anahangaika kujenga au kusafisha saiti (ku-clear site) lakini kuna mitoto au watu wanacheza juu ya kifusi na wengine wamepanda na wanacheza kwenye kijiko sasa badala ya yeye kuendelea na kazi anabaki kukimbizaa nao.
Kwa ufupi ni kwamba hawaelewi ni nini anachofanya wanadhani ni mchezo tu.
My Note. HILI NI KWELI na Masoud ni jinias kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bulldozer hasikilizwi tena !!
Katoka kwenye hilo dude kuwaambia watu wampishe ... Ndo kwaaanzaaa wanaruka sarakasi ....[emoji38] wengine wameamua wapande kabisa kwenye bulldozer kuonyesha hawamwogop hawa ndo balaa[emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]he he he........... mi ni huyu niliyeruka kigunia hapoo
Jiwe lilianza vyema kunyoosha Nchi ila kwa tabia zake za kumparua kila mtu, sasa hata driver (wachumi, washauri etc) wametoka kwenye viti vyao na wanaomba msaada wa kuwaokoa pale. Tatizo hayupo wa kuwaokoa maana kila mtu keshakimbia. Bulldoser halitembei tena na Jiwe halina habari. Hata akili ya kugeuka nyuma tu lijue kuna tatizo gani, halina.leo kaniacha mianzini kabisa nashangaa taa ebu aje anitoe hapa mapema
hongera mkuu maana nilitoka bila bilaJiwe lilianza vyema kunyoosha Nchi ila kwa tabia zake za kumparua kila mtu, sasa hata driver (wachumi, washauri etc) wametoka kwenye viti vyao na wanaomba msaada wa kuwaokoa pale. Tatizo hayupo wa kuwaokoa maana kila mtu keshakimbia. Bulldoser halitembei tena na Jiwe halina habari. Hata akili ya kugeuka nyuma tu lijue kuna tatizo gani, halina.
Nimemaliza.
Kumbe unaweza kuruka hivi, uje basi 2604he he he........... mi ni huyu niliyeruka kigunia hapoo
ntakuwa hapo mbele kabisaKumbe unaweza kuruka hivi, uje basi 2604
Iko hv. Magufuli anahangaika kujenga au kusafisha saiti (ku-clear site) lakini kuna mitoto au watu wanacheza juu ya kifusi na wengine wamepanda na wanacheza kwenye kijiko sasa badala ya yeye kuendelea na kazi anabaki kukimbizaa nao.
Kwa ufupi ni kwamba hawaelewi ni nini anachofanya wanadhani ni mchezo tu.
My Note. HILI NI KWELI na Masoud ni jinias kweli.