Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hawa ni ile 75% ambayo JK alisema yenyewe huwa inafuata upepo unapovuma !!, no reasoning no nothing. ukisema tumenunua bombadia - oyeeee; ukisema madawa hosp. bureee - oyeeeeeee, tumefuta karoo msingi hadi seko - oyeeeeeeeee; tunahamia dodoma, oyeeeeeee.

Sasa yule mwenye wigi ndiyo serikali, then sisi wananchi tunacheza kila wimbo unaopigwa.
 
Namuona Mama msaidizi, namuona Mtendaji Mkuu wa shughuri za siri..... kule mjengoni, nawaona wasaidizi na manaibu wao....

Kila mdundo ukitoka wao hawawezi kucheza wenyewe, ila wanachezeshwa tu kama Vikaragosi vya kuchonga....
Nimejaribu kumtafuta Pogba kwenye hizo Vikaragosi sijamuona, nadhani yeye ndo anachezesha hizo Vikaragosi!
 
Ana uwezo mkubwa wa akili. Inawezekana wanaomzidi katika lile baraza ambalo siri zake ni mwiko kutoka nje hawazidi wawili
 
Mwanasesere hawezi fanya kitu chochote bila kamba aliyofungwa, yaani mnyumbuliko wake unategemea aliyeshika kamba na kuichezesha vile aonavyo yeye inamfaa ili kuifurahisha hadhira yake hadi kufikia wengine kushangilia na wengine kupuuza tu kwa kuona ni upuuzi unafanyika hapo.
 
Kiukweli Kipanya anaelewa alichochora hapo anatukaribisha kwenye chambers and corners of his thinking kwamba kuna watu wanaongozwa kufanya matendo yao hawawezi kumove kwenda kwenye viwango vingine mpaka watiwe ufunguo
 
Hao ni watu wasiojulikana wakichezesha moves na watu wachache wenye mamlaka.

Yani wako ni kudance kwa tunes wanazotaka hao wanaowachezesha
 
Inamaanisha viongozi wa sasa hivi wameshilikiliwa they cant do any movement wako kama robots they are being controled by someone else.
 
Serikali inatuchezesha staili zozote inazotaka nasi tunacheza hata kwa kulazimishwa
 
Back
Top Bottom