Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Licha ya kwamba katikati ya hizo kambi mbili kuna daraja kuonyesha ni kuwa ni ruksa kuhamia upande wa pili, hebu angalia mchoro ulivyochorwa upande wa CCM uko juu (mwinuko) wa CHADEMA uko chini (bondeni). Inawezekana ni lugha inayoonyesha kuwa ni rahisi kushuka bondeni kuliko kupanda mlimani na kuna vingi vitakavyo teremka bondeni.
 
Tasfiri yangu ni hii...

1/Daraja la kisiasa limejengwa kuruhusu wanasiasa kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine baina ya CCM na CHADEMA.

2/Mwelekeo wa hilo daraja unaonyesha kuna wepesi(Mteremko) zaidi kutoka CCM kwenda CHADEMA.

3/Mwelekeo wa daraja unaonyesha Uko imara zaidi kwenye kingo za upande wa CHADEMA kuliko upande wa CCM(Ukijenga picha kubwa kuwa ni salama zaidi kisiasa kuhamia CHADEMA ukitokea CCM kuliko kutoka CHADEMA kwenda CCM.

4/Mlingoti wa bendera wa CCM unaonekana umelegea, kuchoka na kuinama kiasi cha kutaka kuanguka, wakati wa CHADEMA uko imara zaidi. (Hii inatoa tafsiri kuwa, CHADEMA ina uungwaji mkono zaidi kijamii kuliko CCM au Kisiasa CHADEMA ndani wako imara zaidi kuliko CCM).
 
Naunga mkono oja
 
Licha ya kwamba katikati ya hizo kambi mbili kuna daraja kuonyesha ni kuwa ni ruksa kuhamia upande wa pili, hebu angalia mchoro ulivyochorwa upande wa CCM uko juu (mwinuko) wa CHADEMA uko chini (bondeni). Inawezekana ni lugha inayoonyesha kuwa ni rahisi kushuka bondeni kuliko kupanda mlimani na kuna vingi vitakavyo teremka bondeni.
daraja upande waccm linaweza kukatika anytime. Huyu jamaa atakuwa chadema huyu... sio kwa upendeleo huo katika lughapicha zake.
 
Ukiangalia kwa umakini upande wa chadema hauna surface ya kutosha, means wanaokuja huko wanabanana sana na pia nafasi ndogo inareflect ufinyu wa kufikiri. Daraja ni kivuko cha wanaotoka kwenye upeo mkubwa kwenda kwa wenye upeo na fikra ndogo.
hahahaha
tena inaonyesha huko wanakotoka pako wazi na panaonekana kwa mapana na marefu ila huko waendako hapaonekani kuna uwezekano wakapotea au kutapelika.
 
Ukiangalia kwa umakini upande wa chadema hauna surface ya kutosha, means wanaokuja huko wanabanana sana na pia nafasi ndogo inareflect ufinyu wa kufikiri. Daraja ni kivuko cha wanaotoka kwenye upeo mkubwa kwenda kwa wenye upeo na fikra ndogo.
Fikra za kijahili
 
Hahahaahaha Nimeiangalia vizuri nikagundua kitu very interesting, angalia kikalio cha Daraja upande WA Chadema na Upande WA ccm, utakugundua kuwa Chadema Daraja limekaa vizuri wakati ccm limeshikilia kidogo Sana
 
Ila ukiangalia vizuri daraja linaonyesha ccm wanashuka darajani na chadema wanapanda

Sasa sijui lina maana gani hili

Maana yake ni kwamba, Chama kikuu huwa hakifi hata wangeondoka wote bora abaki m/kiti tu. Katibu mkuu hayupo na bado kazi ni chap chap
 
Back
Top Bottom