Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Picha ya mwisho anashangilia ushindi wa rafu zake
 
Hii katuni rahisi kuielewa. Angalia kuna wanasesere wangapi hapo na jinsia zao. Ukimaliza angalia uteuzi wa wakuu wa mikoa na jinsia zao.

Maana ya katuni nahisi ni kuwa wanasesere hawa wanaongozwa na kuwa shaped na mvuta kamba asiyepo hapo. They can't think or act, wanafuata orders pekee.
 
Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!

Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.

Joyce Wowowo wa 1990. Alivuma sana kwa Wahenga

download (3).jpeg
 
Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!

Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
niliwahi mkuta jamaa 1 pale tabora railway station akichezesha mziki wa bongo man, inde monie!
 
niliwahi mkuta jamaa 1 pale tabora railway station akichezesha mziki wa bongo man, inde monie!

Ndo nyimbo zilizotumika, inde moni ya Kanda Bongo Man na wimbo wa Pepe Kale wa Mama Nabela (hata jina silijui ila kuna maneno hayo, shika matiti na mwana, ai, oi).
 
The Fifth mans show....Mukulu....Sammy...Katelephone...Mwerkyember......(the unknown) Bashite..
 
Back
Top Bottom