Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Jana nilinunua kinu na mtwangio,nataka nimualike jamaa aje azindue kiwanda kianze kufanya kazi!
 
Wahahahaaa!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] masoud noma aseee
 
Likipele limepata mkunaji mpaka kucha zinapinda!!! Dadeki nyekundu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha dogo katulizwa na dingi kusudi jamaa aendelee kutoa porojo..,
 
Sijaona Uongo Wa Waziri Ila Ndiyo Namna Ya Viongozi Watu Hapo Yupo Kwenye Fire Katika Utekelezaji Wa Majukumu
Viwanda 543 Singida
Manyoni 37
Pwani 371
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…