Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Daaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu
Kweli hujui kule NIDA alisave, E-Pasport alisave, na wapi kwingine? Hata kwenye Bormberdia alisave, sasa sijui anaziweka wapi?
 
Hamna kinacho save.wa hapa ni propaganda tuu.ndio maana hataki mtu ahoji.

Media zote kaweka mfukoni hakuna wakuhoji.
 
Acha yoga unatakiwa ujiamini we mwanaume unakataje tamaa mapema hivyo
Dah kila nkijaribugi kubonyeza kitufe kilichoandikwa Pm naishiaga kuandika subject tu........ ......Kwenye body maneno yote huniishia
 
Pole sana mkuu endelea kuishiwa maneno
Ahsante mkuu, ila ipo siku ntajilipua nikutimbie huko, ngoja nitafute nguvu za kiume kwanza[emoji385] [emoji384] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji385]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…