Daah...! Kenya haya yanayofanyika mbona wangeanza kelele siku nyingi. Sisi tunaishi kama tuko shimoni kwenye hii nchi. Uhuru haupo,ukijaribu tu hata kusema chochote chenye maslahi kwa wengi wasiojulikana hawa hapa. Sasa hivi tunaamuliwa kila jambo na mtu mmoja tu,yaani kila kitu ni mtu mmoja tubora kuzaliwa Kenya tu..wakenya hawana haya maujinga
Daah...! Kenya haya yanayofanyika mbona wangeanza kelele siku nyingi. Sisi tunaishi kama tuko shimoni kwenye hii nchi. Uhuru haupo,ukijaribu tu hata kusema chochote chenye maslahi kwa wengi wasiojulikana hawa hapa. Sasa hivi tunaamuliwa kila jambo na mtu mmoja tu,yaani kila kitu ni mtu mmoja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kaombe wakuoe kabisabora kuzaliwa Kenya tu..wakenya hawana haya maujinga
sawa
Katafute mapopoma wenzio, hakuna mtumishi mwenye kujitambua atakayekumbwa na upepo wa kipumbavu kama huu. Kanuni zimeandikwa na JENY, ni mwanaCCM, Waziri wa serikali chini ya Baby wake, watumishi wamechachamaa Mr anajifanya kumkana Mumy ili kupata huruma ya watumishi, ghafla asiyehusika anatolewa kafara. Hizo kanuni za Kifirauni zilitungwa na huyo mama wa SSRA au na Jeny?KIKI ZA MEMBE NA UFIPA WOTE 2020 KWISHNEEE...!
TENGENEZENI TATIZO LA USHOGA JINSI MNAVYOTUMIWA NA MABEBERU KUUTETEA AFU MUUKATAE GHAFLA ILI BAVICHAA MUWE MMEPATA KIKI ZA SIASA ZA KIMATAIFA KAMA BABA YENU WA TZ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina linatafsiri uhalisia wa akili ya mtu, asante sana kwa kujiweka wazi zaidi jinsi ulivyo 0 - 0 kichwani mwako(zero brain)Katafute mapopoma wenzio, hakuna mtumishi mwenye kujitambua atakayekumbwa na upepo wa kipumbavu kama huu. Kanuni zimeandikwa na JENY, ni mwanaCCM, Waziri wa serikali chini ya Baby wake, watumishi wamechachamaa Mr anajifanya kumkana Mumy ili kupata huruma ya watumishi, ghafla asiyehusika anatolewa kafara. Hizo kanuni za Kifirauni zilitungwa na huyo mama wa SSRA au na Jeny?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe anakula hiyo kitu pia ? Aisee huyu mzee ni haki ajiongezee ulinziKatafute mapopoma wenzio, hakuna mtumishi mwenye kujitambua atakayekumbwa na upepo wa kipumbavu kama huu. Kanuni zimeandikwa na JENY, ni mwanaCCM, Waziri wa serikali chini ya Baby wake, watumishi wamechachamaa Mr anajifanya kumkana Mumy ili kupata huruma ya watumishi, ghafla asiyehusika anatolewa kafara. Hizo kanuni za Kifirauni zilitungwa na huyo mama wa SSRA au na Jeny?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan swala la ushoga si ccm wametengeneza alafu wakashindwa kutatua?KIKI ZA MEMBE NA UFIPA WOTE 2020 KWISHNEEE...!
TENGENEZENI TATIZO LA USHOGA JINSI MNAVYOTUMIWA NA MABEBERU KUUTETEA AFU MUUKATAE GHAFLA ILI BAVICHAA MUWE MMEPATA KIKI ZA SIASA ZA KIMATAIFA KAMA BABA YENU WA TZ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nigger pleeeeeaaaseee!Hujawajua hawa viumbe?They are doing all stuntical movies!Tengeneza TATIZO MWENYEWE kisha LITATUE MWENYEWE(mr kipanya)
View attachment 980188
Sent using Jamii Forums mobile app