ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Acheni ujinga mtafikiri nyinyi ni watoto wa chekechea....siku zote katuni za kipanya zipo linked na hali ya siasa za tz...tek that to your walletKujishuku ni kitu kibaya mnoo!Hahahahaaaa! Umetafsiri ulivyotaka.
Hata nyumbani kwako,Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Aliyekwambia mambo mazuri huko kwa Trump nani? Watu wanakosa ajira kwani viwanda vya magari vinafungwa huko Detroit!!!
Magufuli yupo wapi hapo?Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Hayo ni maneno yako siyo ya Kipanya!Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
So what?Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Hata mi sijaelewa kwanini anamsema kipanya si kila mtu anafasiri aonavyo. Maana hata Cdm na Cuf zinazama zikiwa na matumaini ziko vizuriMleta mada kaathiriwa na siasa kichwani mwake
Lijinga ni weye na shangazi zako wenye kutafsiri vitu mnavyojisikia utadhani mnaishi peke yenu duniani.Mkome kushabikia upumbavu.Acheni ujinga mtafikiri nyinyi ni watoto wa chekechea....siku zote katuni za kipanya zipo linked na hali ya siasa za tz...tek that to your wallet
A wapi !mm hapa vyuma vimekaza ila demu wangu akipoint out wishes zake ambazo nazikwepa kininja ninja huwa ananiuliza vipi baby mbona hivyo huwa namjibu niko vzr mpaka leo ananiita mzee wa niko vzr sijui kanistukia kuwa sina kituMzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Anataka kuforce mambo,kwamba tafsiri yake yeye iwe tafsiri ya woteHata mi sijaelewa kwanini anamsema kipanya si kila mtu anafasiri aonavyo. Maana hata Cdm na Cuf zinazama zikiwa na matumaini ziko vizuri
uzuri wa sanaa kila mtu anakua na tafsiri yake,mi nimetafsiri kwamba taifa stars inazama huku tukijifariji kwamba tutampiga Uganda goli nne na kufudhu AfconMchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Hapo anamaanisha hata kivuko kikizama waokoaji wako vizuriMchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Kama ni katuni za kisiasa kwa nini isiwe ni Mrema? Au Cheyo?Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli