kweli !!?? anamaanisha kuwa jamaa katumwa " yaani huo waya lazima kuna Nyumba ambayo utakuwa unatokea " so ndio anataka amjue huyo mwenye hiyo nyumba ninani !?Kiukweli hiyo ya kufatilia waya ata mm nimetoka mweupe sio viongozi tu.
Nashukuru kwa kunirekebisha, mkuuHapana, hata Gayo huchora Katuni fikirishi za kisiasa, kuna yale Magazeti (Magazine) ya Kingo, hutolewa kama free copies kama sikosei...ameshawachora sana kina E.L, Mstaafu Mzee Ben n.k.
Ume exaggerate Sana mkuuKwa maoni yangu kama KP ni Umishumita basi gayo ni Premier League, ingawa wote wapo vizuri
Kuna gado yule wa Kenya japo ni mbongo ni shidaHapana, hata Gayo huchora Katuni fikirishi za kisiasa, kuna yale Magazeti (Magazine) ya Kingo, hutolewa kama free copies kama sikosei...ameshawachora sana kina E.L, Mstaafu Mzee Ben n.k.
Nimependa comment yakoNa hiki ndio kinamfanyaga awe salama siku zote,ni mpaka mtu awe na akili ya ziada kumuelewa,viongozi wetu wengi kichwani weupe
AhsanteNimependa comment yako
HahaaMasoud nadhani ni politics cartoonist wakati james ni story catoonist, wana tofauti. Ila story za gayo zinakuaga umenunua gazeti asubuhi ila unakuja kuelewa story jioni. Kama assignment vile.
Karibu mkuu. Unacheka kitajiri sanaHahaa
Waulize walipo wababe hawa angalau roho ya utu uwarejeeHuyu jamaa mi shiiida sanaView attachment 923149
Bila kumsahau McCain wa Amerika ya Kaskazini5. Kanali wa dunia Gaddafi