Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,088
- 2,141
kwani asiposema ndo hatakufaYaani Nyie wapuuzi kweli.Unakijua kitu kinaitwa YARABI NAFSI??.Ataje Ili iweje.Akisema mtu aliye tayari kujitokeza afe badala yake ili aseme alikokuwa,Utakuwa tayari?,hiyo ndiyo inaitwa Yarabi nafsi yangu.Sema uone kama hujatolewa roho.Kula ugali wako,kakojoe ukalale.
Kipanya bhana haishi chokochoko!
Hio ambush ingekuwa ni kituko zaidi!
Umesahau kubeba popcorn mkuuAisee!
Nimewahi seat tu.
Ninazo hapa mkuu,Umesahau kubeba popcorn mkuu
Anamaana musiba sio kichaa ila ni spika ya mtu fulani.kwahiyo kitaalamu zaidi fuatilia waya kumkuta alie na microphone ya spikaNani kamuelewa? View attachment 917496
Anamaana musiba sio kichaa ila ni spika ya mtu fulani.kwahiyo kitaalamu zaidi fuatilia waya kumkuta alie na microphone ya spika