Kuna raia bado hawaamini hii kitu ,sijui hadi washamba wafanyenini ndo waamini.Tumekabidhi nchi kwa washamba
Ngoja nikae pembeni na "rungu" langu nisubiri watakaokuja ku -like comment yako:!Mkubwa kea Nini husifikirie kinyume chake kuwa Kuna watu wanataka kuichafua serikali yetu maana Kama Ni serikali wanajua kuwa wakimteka mtu katika maeneo ya serikali watajulikana wao,na wanaoichukia serikali wakaona wakimteka mru maeneno ya serikali itajulikana serikali,Ni mawazo yangu tu mkubwa
Je unajua madhara ya kutumia vyombo vya nje kuja kuchunguza Mambo yenu ya ndani?Ndio sababu watu wengi,na mimi nikiwemo tunatamani sana kuwepo na uchunguzi wa vyombo kutoka nje ambavyo havitakuwa rahisi kupelekwa kisiasa ili tujue ni wahuni gani hawa wanataka kuiharibu sifa nzuri ya taifa letu.
Ni kweli Kipanya mhuni ila hawafikii watengeneza sinema wa Magogoniwood!Kipanya Muhuni
Mkuu Chakaraboti yuko Boliwudi nadhani Cheki Norisi atawafaa.....Wanashauriwa kumtumia chakaraboti
Akili mingi sana hii mtu!Tunaendelea kupata madini kutoka kwa msanii machachali wa katuniView attachment 905148
Akili mingi sana hii mtu!
Ni kweli Kipanya mhuni ila hawafikii watengeneza sinema wa Magogoniwood!
Je unajua madhara ya kutumia vyombo vya nje kuja kuchunguza Mambo yenu ya ndani?
hakuna kitu kibaya kama kukosea kufanya hesabu halafu unajisifia umeipata exactly..
huku mathematicians wakiisubiri waisahihishe
Tz watu wapo makini sana kuliko Rwanda, Zimbabwe na Uganda
na hata wale kidumu wanajielewa basi tu wanataka mkono uende kinywani
Lakini huyu pia alikuwa na 'wafuasi' zaidi ya 23,000 (wafanyakazi wake na familia zao) + wapenzi wa timu ya Simba (sina idadi yao).Ni zaidi ya unavyofikiria!Na mwingine akiandika hivi wamefanya hili kwa huyu ili ichukuliwe ni kawaida au mazoea.
Lakini ikumbukwe MO ni mfanyabiashara hili lifanyika kwa mwasiasa tungekuwa tunaongea mengine kwani tukumbuke mwanasiasa ana wafuasi wengi wanaoziishi itikadi zake ndiyo maana umoja wa kitaifa unazidi kumomonyoka ajili ya hizo Itikadi kwa hiyo tuombe Mungu jambo kama hili lisije kumtokea Mwanasiasa kwani kila mmoja anajua maana y'a Itikadi ndani ya Imana kamili inayoishi ktk Roho za Watu
Wala pa kumalizia! Nzi kafia kwa muuza supuWacheza sinema hawajui pa kuanzia
Wala pa kumalizia! Nzi kafia kwa muuza supu
Lakini huyu pia alikuwa na 'wafuasi' zaidi ya 23,000 (wafanyakazi wake na familia zao) + wapenzi wa timu ya Simba (sina idadi yao).Ni zaidi ya unavyofikiria!
umeanza kutumiwaHuyu hajielew