Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Siro kaumbuliwa na teknolojia.
CCTV camera zimezua balaa
Wanatuona watanzania ni vilaza kweli kweli, na kwamba hatuna kabisa uelewa wa CCTV camera. Wanaishia kuumbuka
 
Hio picha ana relate tukio la askari polisi ambae video inaonyesha akisalimia ki ccm . So sad ma great thinkers wengi akili kisoda
 
Huyo mpenda kukimbiakimbia mtamjaza mimba kwa tuhuma,tafadhalini msameheni jama.
 
Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Ziko wapi katuni ulizochora wewe zenye akili?
 
Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Kuna wengi wamefanya / wanafanya mambo makubwa lkn darasani hakuwa hata kwenye top 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…