Yay so ukiwa sawa sawa unakuwa mhadhiri?basi? Nahisi wewe lecturer unaowaelekeza huko kwenye vitivo wana msiba mkubwa wa kitaaluma heri mm o level janja ya mjini then hustlin around da world nimepata kitaaluma cha mtaa kuliko wewe john kisomoAngekuw kipanga asingekuwa anatangaza kwenye tv ya hovyo kama clouds. Angekuwa lecturer somewhere
Nilivyoielewa picha ni kwamba jamaa kakwea hadi kileleni cha mti wa upinzani na kutokana na mti huo kuwa mwembamba, ukaanza kuinama kuelekea CCM ili aangukie huko ila bado kashikilia mti kwa nguvu
Nani lakwambia lecturer ni maskini labda unazungumzia lecturer wa mwalimu nyerere memorial college!!Angekuwa lecture angekuwa masikini
Isije kuwa unamwonea wivu kwa jinsi anavyofuatiliwa nchi nzima kila siku kwa makala zake za katuni, huku wewe unaejifanya kipanga huna lolote la msaada kwa nchi yako.Aibu kwakoHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Wewe kolo unataka kila kipanga awe lecture??..maisha hayako hivo..kila mtu anafanya kitu ambacho yupo confortable nacho na anakifurahia..Angekuw kipanga asingekuwa anatangaza kwenye tv ya hovyo kama clouds. Angekuwa lecturer somewhere
Umebanwa na hajakubwa nafikiri.. Usipoitoa huwa unarudi reverse na kulrta effect kwenye ubongoAngekuw kipanga asingekuwa anatangaza kwenye tv ya hovyo kama clouds. Angekuwa lecturer somewhere
Kwanza mfumo wetu wa elimu haumuwezeshi mwenye akili nyingi kufanikiwa. Hata magugu maji unaambiwa kasoma sanaUna matatizo gani wewe...mbona unakimbiakimbia ovyo? Muache Ki-panya atumie talent yake kuelimisha na kuburudisha...Kwani wewe uliyekuwa una akili sana darasani una effect gani kwa taifa muda huu??
Nakumbuka kuna kijana ana asili ya Tanga ila wazazi wake walihamia Mtwara alipata 0 form four. Alipelekwa Marekani akaanza shule upya na akaja kuwa mwanafunzi mwenye akili sana katika level zote alizopitia hadi chuo kikuu na sasa hivi ni muajiriwa wa microsoft nafikiriWewe kolo unataka kila kipanga awe lecture??..maisha hayako hivo..kila mtu anafanya kitu ambacho yupo confortable nacho na anakifurahia..
Mkuu wewe cheka tu..... wanajua hali ngumu so wanalazimisha tucheke cheke!hahahaaa, nisameheni imebidi nicheke tu,si wakati wake.
Nazidi kuamini kuwa hawa jamaa ni zero kabisaaa!Siro kaumbuliwa na teknolojia.
CCTV camera zimezua balaa