Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Baby atoto njoo huku nikukande kande
 
Last edited by a moderator:
mi nahisi ungeipeleka jukwaa la wakubwa ungepata mashabiki zaid hapa tupo tusiojua kama mimi ndo mgeni kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
We acha uchonganishi,Nimefungua massage clinic ndio nimekukaribisha hapo uje ukandwe na kijana wa kazi

Akuuu mie nakandwaga na mahabuba tu, cha kunitia genye nini!!
 
Haya ule mda umefika wa kuvuana pichu kwa meno
 
Akuuuu thidanganyikiiiii, wax njoo umuone huyu mbabu!

Baby tafadhali usirubuniwe huyu kibo 10 inabidi niongee na mods apigwe ban
 
Last edited by a moderator:
Akuuuu thidanganyikiiiii, wax njoo umuone huyu mbabu!

Hawa wazee wana tamaa sana wamekua chanzo cha kuvunjika kwa ndoa za vijana sasa kwa taarifa yake hapa ameshndwa
 
Last edited by a moderator:
Baby atoto njoo huku nikukande kande

Wewe kibo ten nakusihi achana na mke Wang "atoto "yatakayo kukuta sipend kuweka hapa ni hayo tuu Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mtu mzima haogopi sindano atoto

Kwan mke wangu kasema anaumwa halaf wewe kua na adabu na wake za watu, ulikataza mwenyewe kuwa mtu haruhusiwi kutongoza mke /mme wa mtu sasa ww ndo unajifanya kidume sio plz acha hii tabia mara moja
 
Last edited by a moderator:
mi nahisi ungeipeleka jukwaa la wakubwa ungepata mashabiki zaid hapa tupo tusiojua kama mimi ndo mgeni kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu jukwaa la wakubwa ndio lipi..maana mimi mwenyewe ni mgeni humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom