Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Hebu jifunze suprise HUG unamkumbatia kwa mgongoni unazpisishia mikono katikati ya mikono yake then kwa mbele ipandishe na viganja vitouch maziwa hata kama ni me , then unaleta lipsi kwa shavu unaanza na mwaaa then ita jina mf: mamndenyi, mo11, miss chaga, preta, viol, tarime one, nifah mpeenz, darrrling, mme/mke wangu nakupenda sana umpe sekunde 38 hiv usiongee chochote then uone response

Asante Nimeipenda hii
 
kuna watu hawajui kuzungumza na wapenzi/ wake zao pindi wanapohisi kuna jambo linawakera.

mfano kuna kitu hukipendi kwa mpenzio(me) wanaume wengi wanapenda saana kukaa kwenye kochi/kitandani mguu mmoja umekanyaga chini mwingine kaulaza juu ya kochi sasa wewe ke tumia hii nafasi wakati huo mmekula chakula mmeshiba mmeoga fresh uwe na uso wa furaha ktkati ya miguu yake pale kaa pale then unamlaalia hiiivi automatically hata kama we ni mfupi kichwa kitagusa kitovu chake then mikono yako 2 izungushe kiunoni kwake itakutana mgongoni atajikuta tu naye kaizungusha mikono yake akukumbatie.

hapo ukinyanyua macho juu unamtizana naye akitizama chini tu macho yenu yatagongana..tabasamu kidogo sasa alaaa mwambie (godson) G. najupenda sana mpenz/ mme wangu sijuti kuwa na wewe ntakupenda nakukuthamini daima. lazima ajibu maneno matamu , hapo sasa unamwambia sweeewtyyu kuna kitu hakinipendezi mwenzio!! atajibu nini mamaa/ baby/ darling unachelewa kurudi nyumbani, ukija unakuwa busy na whatsap/jamii forum mawasiliano yako na wanawakw wengine mi yananitia mashaka na naogopa yatapunguza mapenzi yetu, kitu gani umekosa kwangu jaman mpige kabusu kidogo uone kama hajakuambia mwaj waukweli ndo ananichelewesha mamaa but ucjal naacha kuanzia leo. but ukiona kabadilika tu akirudi nyumbani uwe na mapenz hothot, room safii mashuka hayanuki shombo ataona kule anapoteza mda. hata mwanamke ukimuaproach in a romantic way ukamwambia jambo ambalo hupendi thwn malizia na mechi yenye bashaaha umeua bendi..

Uko vizur my dia!
Bring it more! Thanks
 
Hebu jifunze suprise HUG unamkumbatia kwa mgongoni unazpisishia mikono katikati ya mikono yake then kwa mbele ipandishe na viganja vitouch maziwa hata kama ni me , then unaleta lipsi kwa shavu unaanza na mwaaa then ita jina mf: mamndenyi, mo11, miss chaga, preta, viol, tarime one, nifah mpeenz, darrrling, mme/mke wangu nakupenda sana umpe sekunde 38 hiv usiongee chochote then uone response

Ooh!..U kno what???...U'R SUCH KIND OF A VERY ROMANTIC WOMAN...IT SEEMS U KNO HOW TO TURN ON A REAL MAN...kwanza nakutunuku iyo tuzo hapo,kwa ivyo ulivyoelezea hapo napenda nikiwa nyuma yake uku naiangalia ile shingo yake aside then nimpumulie ile pumzi ya joto ivi slowly au nitumie ncha ya ulimi wangu kuchezea kingo za masikio yake...bhasi ni shiiida hapo akigeuka na kushika hizi 6-packs kisha kulalia kifua changu mie ndo huwa nadata hapo.
 
eeee waaaaah:thumbup:
 
kuna watu hawajui kuzungumza na wapenzi/ wake zao pindi wanapohisi kuna jambo linawakera.

mfano kuna kitu hukipendi kwa mpenzio(me) wanaume wengi wanapenda saana kukaa kwenye kochi/kitandani mguu mmoja umekanyaga chini mwingine kaulaza juu ya kochi sasa wewe ke tumia hii nafasi wakati huo mmekula chakula mmeshiba mmeoga fresh uwe na uso wa furaha ktkati ya miguu yake pale kaa pale then unamlaalia hiiivi automatically hata kama we ni mfupi kichwa kitagusa kitovu chake then mikono yako 2 izungushe kiunoni kwake itakutana mgongoni atajikuta tu naye kaizungusha mikono yake akukumbatie.

hapo ukinyanyua macho juu unamtizana naye akitizama chini tu macho yenu yatagongana..tabasamu kidogo sasa alaaa mwambie (godson) G. najupenda sana mpenz/ mme wangu sijuti kuwa na wewe ntakupenda nakukuthamini daima. lazima ajibu maneno matamu , hapo sasa unamwambia sweeewtyyu kuna kitu hakinipendezi mwenzio!! atajibu nini mamaa/ baby/ darling unachelewa kurudi nyumbani, ukija unakuwa busy na whatsap/jamii forum mawasiliano yako na wanawakw wengine mi yananitia mashaka na naogopa yatapunguza mapenzi yetu, kitu gani umekosa kwangu jaman mpige kabusu kidogo uone kama hajakuambia mwaj waukweli ndo ananichelewesha mamaa but ucjal naacha kuanzia leo. but ukiona kabadilika tu akirudi nyumbani uwe na mapenz hothot, room safii mashuka hayanuki shombo ataona kule anapoteza mda. hata mwanamke ukimuaproach in a romantic way ukamwambia jambo ambalo hupendi thwn malizia na mechi yenye bashaaha umeua bendi..

Hahaahaaa!.. I release again that U'R A HOT WOMAN FOR A REAL GUYS!!!
 
mie bhana nlipokawa na yule girl niliekampenda kwa dhati nilifanya haya.
1.akifika getto anapokelewa vizury namvua viatu anaingia.
2.akiingia ndani ful manukato namkalisha kitandani namjulia hali na kila salam ya mahaba.
3.naenda kumwandalia maj ya kuoga namchukua nasaidiana nae kwenye kuoga.
4.tukirudi namfuta maji vizuri na kumueka sawa.
5.alikua hapend vyakula vya dukan but nlikua cmruhusu kupika, so nampikia zangu ugali na samaki za kukaanga pembeni kachumbari au namkaangia viaz na mayai na juice au chakula chochote simple.
6.nampakata paja la kushoto wakat nshaandaa msosi then namlisha
7.baada ya hapo namkalisha kitandani story tam znaendelea hadi 2nafikia kule sehem
Alikua na aibu sana na alikua anankataza kufanya hayo sometime coz alihis ni majukum yake ila me nlimueleza huwa najickia furaha nkimfanyia hvyo akaelewa.
wanawake ni mapambo yetu bhana sharti uyapambe ati
 
alikuacha???????
 
"niliyekampenda" wewe utakuwa wa kuleeeeee
 
Ondoa shaka " baby " nipo full equipped kwako

Ooooh thats so sweet of you. cute b njoo nikutambulishe kwa le super shemeji, ila tafadhali sitaki ule unoko wako hapa, sawaa(full kujihami)
 
Last edited by a moderator:

Mtambulishe kabsaa acje akaleta shida hapa
 
Last edited by a moderator:
Daaah Kumbe wakubwa mnafaiiidii????ngoja na mm nifikishe miaka18 nitafute kichenchedo changu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom