Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Mkuu jukwaa la wakubwa ndio lipi..maana mimi mwenyewe ni mgeni humu

nenda PM mwambie invisible kuwa unataka kujiunga na jukwaa la wakubwa atakuunga utawaona wakubwa walivyoimarika kwenye hiyo sekta.....!!!!
 
Baby tafadhali usirubuniwe huyu kibo 10 inabidi niongee na mods apigwe ban

Amechemka maana sidanganyiki wala sirubuniki.

Kibo 10 plz achana na mke wangu atoto usipende kupigwa ban Mkuu

Cc Kibo10

Hawa wazee wana tamaa sana wamekua chanzo cha kuvunjika kwa ndoa za vijana sasa kwa taarifa yake hapa ameshndwa

Yeti iko imara dear haitetereki ng'oooo

Wewe kibo ten nakusihi achana na mke Wang "atoto "yatakayo kukuta sipend kuweka hapa ni hayo tuu Mkuu

There goes my babyyyy

Baby usikubal tafadhali

Siwezi darling, unanitosheleza

Kwan mke wangu kasema anaumwa halaf wewe kua na adabu na wake za watu, ulikataza mwenyewe kuwa mtu haruhusiwi kutongoza mke /mme wa mtu sasa ww ndo unajifanya kidume sio plz acha hii tabia mara moja

Nashangaa anaanza kuvunja sheria mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Unachokitafuta hukipati ng'oooooo!

Mwambie huu si mkwara hii ndoa haivunjiki kama alivo vunja za wengine hatua kali dhidi yake zitachukuliwa tupo imara sana
 
"Mambo baby wangu"naona kibo 10 anazidi kukuchafua dear

Huyu mbabu hana nia njema na mimi kabisaaaaaa!! Mbona hajanikuta!! Charity jamani hebu mdhibiti huyu mtu atulie.

Mwambie huu si mkwara hii ndoa haivunjiki kama alivo vunja za wengine hatua kali dhidi yake zitachukuliwa tupo imara sana

Mwache ajisumbue
 
Last edited by a moderator:
atoto njoo ona jamaa alivyo na mkwara mwepesi

Hahaha hahaha Mkuu we jaribu uone kama ni mkwara mwepes au mzigo, halaf ebu tupe taarifa za dodoma kwanza
 
Last edited by a moderator:
i luv u cute b wangu, nimekumiss ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
We shaurilo ila usijerudi kunililia nikuombee msamaha!

Kuomba msamaha ukiwa ushafaidi wala sio shida
We acha tuendelee tu kupetiana joto lako lipo juu sana
Halina uvumilivu tena,lazima lishushwe na wakulishusha ni mimi pekee
Come zisi weyi mai lavu
 
Namlaza unono edward n lowasa alale salama baada ya jaribio lake la kununua urais kushindikana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom