kuna watu hawajui kuzungumza na wapenzi/ wake zao pindi wanapohisi kuna jambo linawakera.
mfano kuna kitu hukipendi kwa mpenzio(me) wanaume wengi wanapenda saana kukaa kwenye kochi/kitandani mguu mmoja umekanyaga chini mwingine kaulaza juu ya kochi sasa wewe ke tumia hii nafasi wakati huo mmekula chakula mmeshiba mmeoga fresh uwe na uso wa furaha ktkati ya miguu yake pale kaa pale then unamlaalia hiiivi automatically hata kama we ni mfupi kichwa kitagusa kitovu chake then mikono yako 2 izungushe kiunoni kwake itakutana mgongoni atajikuta tu naye kaizungusha mikono yake akukumbatie.
hapo ukinyanyua macho juu unamtizana naye akitizama chini tu macho yenu yatagongana..tabasamu kidogo sasa alaaa mwambie (godson) G. najupenda sana mpenz/ mme wangu sijuti kuwa na wewe ntakupenda nakukuthamini daima. lazima ajibu maneno matamu , hapo sasa unamwambia sweeewtyyu kuna kitu hakinipendezi mwenzio!! atajibu nini mamaa/ baby/ darling unachelewa kurudi nyumbani, ukija unakuwa busy na whatsap/jamii forum mawasiliano yako na wanawakw wengine mi yananitia mashaka na naogopa yatapunguza mapenzi yetu, kitu gani umekosa kwangu jaman mpige kabusu kidogo uone kama hajakuambia mwaj waukweli ndo ananichelewesha mamaa but ucjal naacha kuanzia leo. but ukiona kabadilika tu akirudi nyumbani uwe na mapenz hothot, room safii mashuka hayanuki shombo ataona kule anapoteza mda. hata mwanamke ukimuaproach in a romantic way ukamwambia jambo ambalo hupendi thwn malizia na mechi yenye bashaaha umeua bendi..