Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Ooooh thats so sweet of you. cute b njoo nikutambulishe kwa le super shemeji, ila tafadhali sitaki ule unoko wako hapa, sawaa(full kujihami)

Shemeji? Atakuwa wa kudumu au Manga ML akirudi kutoka maca utamwaacha? wax unajua lakini kama bibie kaachwa juzi juzi na Eli79. Hahahaaa
 
Last edited by a moderator:

Yaani we mtoto sijui hata nikufanyeje yaani, nimekushindwa kabisaaaa, hivi hiyo warning hapo juu hukuiona??? Utanilipa nakwambia huyu ndege akipeperuka, sasa hao ulowataja hapo wanahusikaje kwa mfano??? Kaone vile ndio maana kacute.
 
Last edited by a moderator:
Atoto wangu njoo huku kuna mtu anataka kuvuruga ndoa yetu
 
Yaani we mtoto sijui hata nikufanyeje yaani, nimekushindwa kabisaaaa, hivi hiyo warning hapo juu hukuiona??? Utanilipa nakwambia huyu ndege akipeperuka, sasa hao ulowataja hapo wanahusikaje kwa mfano??? Kaone vile ndio maana kacute.

Sikuona mamy nithameheee ata ivyo wax hajaona kuw wew una mtu na pia mtalakwa .
Vip ana honga?
 
Last edited by a moderator:
Sikuona mamy nithameheee ata ivyo wax hajaona kuw wew una mtu na pia mtalakwa .
Vip ana honga?

Yaani huyu haongi bali anamwaga mifedha, ukisikia kismati sasa ndio hiki, huyo alonitaliki kwanza nani? Alafu wewe mtoto wewe hebu uwe na adabu mara mojamoja sawa? Haya muamkie shemeji yako.
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyu haongi bali anamwaga mifedha, ukisikia kismati sasa ndio hiki, huyo alonitaliki kwanza nani? Alafu wewe mtoto wewe hebu uwe na adabu mara mojamoja sawa? Haya muamkie shemeji yako.

Nishamwamkiaa hahahaaaa ngoja na mimi nikatafutee
 
Mke wangu charty nimekunywa kahawa usingizi sina,Njoo sogea huku my lovely wife
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom